Kwa waliopo kwenye ndoa na wachumba tu!

Kwa waliopo kwenye ndoa na wachumba tu!

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Hebufikiria kulingana na maendeleo ya utandawazi wa matumiaji wasimu,endapo kungekuwa na utaratibu wa kila mwaka kila kampuni ya simu unaenda kuchukua backup ya simu zako zote na sms ulizo piga na kupigiwa,mfano kama bank statment, kisha mnaexchange na laazizi wako, nini kingetokea??
 
Yeba! Yeba!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    5.4 KB · Views: 587
kusingekua na ndoa
inayofikisha miezi 6,ila
pia ingeleta uaminifu majumbani!
 
We ungeweza kusoma details za mpenzi wako za simu na sms kwa mwaka mzima? Ungeishia njiani tu, sema kwa wiki labda
 
We ungeweza kusoma details za mpenzi wako za simu na sms kwa mwaka mzima? Ungeishia njiani tu, sema kwa wiki labda
Nakutafuta sana,
naomba uje skype.
I got great news!
 
Cheza na software tu aisee, huna haja ya kusubiri backup, ni real time updates.......
 
Wee.... Unacheza na akili za binadam nn, utashangaa ndani ya huo mwaka unakuta kwenye cm ya mpenzi wako hakuna mtu aliyewasiliana naye zaidi ya wewe mwenyewe (nakucheat ana cheat kama kawa coz atatumia cm nyingine ambayo ww huijui) nabado ndoa inasonga mbele.
 
Hebufikiria kulingana na maendeleo ya utandawazi wa matumiaji wasimu,endapo kungekuwa na utaratibu wa kila mwaka kila kampuni ya simu unaenda kuchukua backup ya simu zako zote na sms ulizo piga na kupigiwa,mfano kama bank statment, kisha mnaexchange na laazizi wako, nini kingetokea??
Watu wangesajili simu za mambo ya siri kwa majina ya marafiki ambao hawajaoa au kuolewa
 
Back
Top Bottom