Kwa waliopo kwenye mahusiano...

Kaza moyo, Kazana sana na shule, Mungu Alitaka kuondoa taka taka usoni pako kabla ya mambo hayajawa makubwa huko mbele, sasa upo huru wewe na malaika wako. Kaza umuonyeshe kuwa Mungu ni wetu sote na unaweza fanikiwa bila ya uwepo wake na Ndio maana nyakati za kuzaliwa unazaliwa peke yako kuonyesha kwamba Ukimtegemea Mungu kikweli kweli utaona matunda yake.
 
Hivi alikuacha baada ya kugundua una mimba au kabla ya mimba alkua hakutak tena kama ni baada ya mimba bac lea mimba yako na mtoto wako hata kwa shida usimuulze mm namuombea asizae mtoto tena maisha yke yote ackie maumiv ya kudharau damu yake mana watu wengi wenye akili wanachkua maamuz ya kutulia na mtu km akigundua amebeba mimba yake wakakubaliana kulea au kutoa maisha yakasonga yeye eti anakimbia f...ck him bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa!

Tumelea wote mtoto mkubwa tu tulikosana tu kidogo kasema forever no kurewind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom