Cutemam
Member
- May 2, 2020
- 90
- 149
Huezi kuona last seen wala dp wala status zake wala humuoni online wala ukimtext haipati text unakuta tick moja tu kuhakiki km amekublock save namba yake kwa cm ya mtu ukikuta unayaona hayo ila kwa cm yko huyaoni basi amekublock
Sent using Jamii Forums mobile app