Kwa Waliopitia JKT tu.....!!!!

Kwa Waliopitia JKT tu.....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
salaam wakuu,
habari za wakati kama huu, kwema? OK kama Uzi unavojieleza, kwa wale ambao tulibahatika kupitia jkt ( national service ) japo wengine hatukuendelea na chombo na hata kwa wale ambao up to now they are still 'chomboni', je ulipitia OP gani? changamoto za kozi, kitu usichoweza kukisahau na Afande mnaa unaemkumbuka mpaka Leo bila kusahau chenja unayoikubali mpaka sasa. Nashkuru wakuu, usiku mwema!
 
Hebu peleka ujinga wako huu kwenye magroup yenu ya Wasapu, Taifa zima tunalia na pesa za umma za Escro wewe unatuletea ujinga wako hapa?
 
Weye mgeni humu ndani? Huu uzi ulishaletwa humu ndani siku nyingi makuchangiwa vya kutosha.
 
Hebu peleka ujinga wako huu kwenye magroup yenu ya Wasapu, Taifa zima tunalia na pesa za umma za Escro wewe unatuletea ujinga wako hapa?

hahaha, Matola, memorize this I'd.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom