Kwa walioolewa na waliooa tu

Si kweli wanandoa wanahamu sana tena kama mmekutana watundu kwenye majamboz ukiwa kazini unatamani muda uishe fasta urudi nyumba usiku uingie muingie uwanjani muanze libeneke

avatar tu baaaaaaaaaaas!!
dah asante!!!!!!!!
 
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls

Kilicho mbali ndio kinaleta hamu. Kikiwa karibu huwezi kuwa nahamu nacho sana, si kipo tu.
 
Cha kwanza kufahamu DS ni kuwa -----Low sexual desire(Libido)is not a disease or dysfunctional/disorder but it is the understandable result of an imbalance in your life...in your relationship, your life circumstances/work balances or your body," kwa mujibu wa Kathryn Hall kwenye article yake Reclaiming Your Sexual Self: How You Can Bring Desire Back into Your Life.

Hii inatokana kimsingi na mambo makubwa matatu

  1. Hormonal fluctuations (labda kwa sababu ya kuwa mjamzito au kunyonyesh au Medication (kuna dawa kama za kushusha depressions ambazo zinathiri)
  2. Mgawanyo wa majukumu kwa siku (too many physical stress and tiredness are biggest factors)
  3. Dysfunctional relationship (kama uhusiano ukiwa sio mzuri kati ya pande husika hufanya kupotea kwa hamu ya kufanya mapenzi hasa kwa wanawake zaidi)
Kilichopo ni kufahamu sababu halisi inayosababisha hali husika kwako na kuichukulia hatua mapema

Kwa msaada zaidi tembelea site zifuatazo zinazoweza kukulink pia na findings na vitabu vinavyolielezea tatizo hili kwa mapana yake zaidi

Why Women Lose Interest in Sex -- and 10 Tips to Rekindle Desire - Good Housekeeping
Why do Women Lose their Sexual Desire?
Lack of sex drive in women (lack of libido)
 
Kilicho mbali ndio kinaleta hamu. Kikiwa karibu huwezi kuwa nahamu nacho sana, si kipo tu.

Du....kweli
A%20S%20clock.gif
Hatutajua unawashwa mpaka ukijikuna
A%20S%20clock.gif
 
Ngoaja nikwambie, sio kwamba hatupendi, ila wanawake walio age ya kulea yaani watoto wadogo wadogo before 5 years, mawazo ya kudu hupungua kutokana na concetration kwa watoto, lakini watoto wakivuka age hiyo yaani zile za ng'eyaa! mara we acha! zimeisha yaani hamu ya kudu hurudi tena kwa nguvu kuliko mwanzo. Ni majukumu tu jamani tuvumiliwe tukimaliza kulea tunarudi katika chati.
 
Inachosha kuiona kila siku bana. Ila hiyo kitu ina siku zake ndani ya ndoa kuna siku unasikia hamu kweli kweli siku nyingine basi ut ufanyeje
 
Ngoaja nikwambie, sio kwamba hatupendi, ila wanawake walio age ya kulea yaani watoto wadogo wadogo before 5 years, mawazo ya kudu hupungua kutokana na concetration kwa watoto, lakini watoto wakivuka age hiyo yaani zile za ng'eyaa! mara we acha! zimeisha yaani hamu ya kudu hurudi tena kwa nguvu kuliko mwanzo. Ni majukumu tu jamani tuvumiliwe tukimaliza kulea tunarudi katika chati.

Nimekupata. Kwa kuongezea Madam T, Ndiyo maana wanaume wasiowavumilivu huanza kufanya ngono nje ya ndo katika kipindi hicho.

Lakini jambo lingine ni usafi wa mwanamke husika ambao husababisha na mwanaume kukosa hamu si ya kujamiiana tu, bali kufanya na yeye tu mfano, kama hafanyi usafi vizuri, unakuta anaharufu ya mtoto, maziwa yananukia kwenye baadhi ya nguo zake, basi mwanaume hukosa hamu ya hata kulala naye. Hapo ndipo kitanda cha pili kinapopata mteja!! Kwa hiyo, ushauri kwa wanawake ni huu: Gawanya muda wako kwa ratio sawa, yaani, 1:1:1 katika majukumu matatu: - Kwa mtoto, kwa mume na kazi za ndani na/auofisini.
 
eeh nimefika mpaka huku kumbe sikusoma kichwa cha sredi doh! Ngoja nitoke nduki...
 
Kwa mtaji huu bado nipo nipo sanaaa tuu:biggrin::biggrin::biggrin:

ha ha ha ndoa ni shughuli! shughuli kweli kweli, sijui tunasurvive vipi wengine ndani ya hizi kuta nne. mmhh kazi kweli kweli:wink::wink::wink::wink:
 
Back
Top Bottom