Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 261
- 295
- Thread starter
- #21
Hahaha
we usipoenda kumuogesha ataogeshwa na wapangaji wenzio ukitoka
kalaghabao
we usipoenda kumuogesha ataogeshwa na wapangaji wenzio ukitoka
kalaghabao
ndo ukweli huo mkuu kama anataka ukamuogeshe kamuogeshe tu macho ya watu sio risasiHahaha
Inategemea ndoa yenu ina umri gani
Ndoa yenu ina umri gani blaza?Mie mke wangu tunaoga tu.
Majirani watajuaje sasa kuwa tuna mahaba mazito?
Inategemea na watu wa aina gani,na wangapi mnaokaa nao nyumba moja,Habarini wakuu?
Leo na swali dogo ningependa kila mtu ajibu kwa ubnafsi wake yeye kama yeye
Je, ni sahihi kuoga na mke wako bafu moja nyumba za kupanga? Yaani bafu Public kwa walio panga nyumba fulani?
Maana mara kadhaa nimempinga wife na kuzozana nae juu ya yeye kupenda hii tabia, Kwa upande wangu sizani kama hii ni adabu.
MwakaNdoa yenu ina umri gani blaza?
Maana kuna mdau hapo juu kasema eti inategemea ndoa ina umri gani!
Oohh sawa sawa mkuuMwaka
Ndoa yenu ina umri gani blaza?
Maana kuna mdau hapo juu kasema eti inategemea ndoa ina umri gani!
Kweli kabisa blaza!
Blaza hii ndoa ngoja nimuulize wife ina umri gani, maana wanawake ndio huweka kumukumbu ya haya mambo.
Blaza vipi nyie hamuogi pamoja?Kweli kabisa blaza!
Wanaume huwa tuna mambo mengi ya kufanya hatuwezi kuweka kumbukumbu za vitu ka hizo!
Aah blaza mie sina huo muda aiseBlaza vipi nyie hamuogi pamoja?
Aah blaza mie sina huo muda aise
Si unajua sisi wanaume wa kinyakyusa tulivyo wababe hatunaga muda wa kuonesha mahaba ya namna hiyo kwa wake zetu
Wana JF ni watu...Habarini wakuu?
Leo na swali dogo ningependa kila mtu ajibu kwa ubnafsi wake yeye kama yeye
Je, ni sahihi kuoga na mke wako bafu moja nyumba za kupanga? Yaani bafu Public kwa walio panga nyumba fulani?
Maana mara kadhaa nimempinga wife na kuzozana nae juu ya yeye kupenda hii tabia, Kwa upande wangu sizani kama hii ni adabu.
Mkeo kama hujamkuta bikir tambua aliekuwa nae kabla walikuwa wanoga bafuni na kuna meengi yalikuwa yanafanyika huko bafuni,cha muhimu subili mida ya saa 4ucku mwambie twende kuoga wote na ukifika huko mnyanduane kichuma mboga unajua kufanya tendo sehemu ya kuiba iba NI raha sana,tena mazingira tofauti na kitandani jalibu uweone
Ndio maana mnamegewa sanaaaaaa na wanaojua kupeti petAah blaza mie sina huo muda aise
Si unajua sisi wanaume wa kinyakyusa tulivyo wababe hatunaga muda wa kuonesha mahaba ya namna hiyo kwa wake zetu
🤣🤣🤣🤣 mmepinda nyieAah blaza mie sina huo muda aise
Si unajua sisi wanaume wa kinyakyusa tulivyo wababe hatunaga muda wa kuonesha mahaba ya namna hiyo kwa wake zetu