sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,158
- 48,359
Wewe ume wowa?? ShemejiMie mke wangu tunaoga tu.
Majirani watajuaje sasa kuwa tuna mahaba mazito?
Wewe ume wowa?? ShemejiMie mke wangu tunaoga tu.
Majirani watajuaje sasa kuwa tuna mahaba mazito?
Kuishi nyumba za kupanga hakuzuwii nyie kuendelea na utaratibu wa wanandoa, msiangalie watu wa nje angalien ndani kwenu maana ndipo furaha yenu IPO. Ogeeni pamoja kama mmoja wenu anapenda msiangalie watu wanawaonajeHabarini wakuu?
Leo na swali dogo ningependa kila mtu ajibu kwa ubnafsi wake yeye kama yeye
Je, ni sahihi kuoga na mke wako bafu moja nyumba za kupanga? Yaani bafu Public kwa walio panga nyumba fulani?
Maana mara kadhaa nimempinga wife na kuzozana nae juu ya yeye kupenda hii tabia, Kwa upande wangu sizani kama hii ni adabu.
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Blaza hii ndoa ngoja nimuulize wife ina umri gani, maana wanawake ndio huweka kumukumbu ya haya mambo.
Habarini wakuu?
Leo na swali dogo ningependa kila mtu ajibu kwa ubnafsi wake yeye kama yeye
Je, ni sahihi kuoga na mke wako bafu moja nyumba za kupanga? Yaani bafu Public kwa walio panga nyumba fulani?
Maana mara kadhaa nimempinga wife na kuzozana nae juu ya yeye kupenda hii tabia, Kwa upande wangu sizani kama hii ni adabu.
Aah blaza mie sina huo muda aise
Si unajua sisi wanaume wa kinyakyusa tulivyo wababe hatunaga muda wa kuonesha mahaba ya namna hiyo kwa wake zetu
Sio mpiga mkuu ni MpingaIla mkuu umempga mkeo kwa ishu hiyo tu dah! Umemuonea muombe msamaha
Mm nilikuwa naoga na napiga kabisa kimoja humohumo watapanga foleni mpaka wataongea ila cha ajabu Sasa nipo kwangu hiyo habar hata siipend!
Sawa mkuuKuishi nyumba za kupanga hakuzuwii nyie kuendelea na utaratibu wa wanandoa, msiangalie watu wa nje angalien ndani kwenu maana ndipo furaha yenu IPO. Ogeeni pamoja kama mmoja wenu anapenda msiangalie watu wanawaonaje