Kwa waliooa na wanaotarajia kuoa

Kwa waliooa na wanaotarajia kuoa

Ukishaoa au kuolewa mtu wako karibu ni mume au mke pamoja na watoto familia zetu nyingi za kiafrika hatupati Maendeleo kutokana na msururu wa watu wanao kutegemea hilo ndio tatizo kubwa
Ndugu wa mume huwa wanakuwa msululu wa matatizo Ila ndugu wa mke fresh tu!
Hapa ndio wanaume wengi huwa tunakwama.
Kama umetoka kwenye familia ya baba, mama na watoto wake uko sahihi kwa mtazamo huo.
Lakini Kama umetoka kwenye familia zetu za vijijini ambako mpaka unafika chuo almost kila mtu alichangia ili ufike hapo ni unafiki tu. Na wao wangewaza hivyo usingefika hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom