Donjama
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 215
- 93
This time naandika hapa...hope wengine wamelala ila kuna wengine bado! Niko na mood ya kuchat...about maisha na issue zingine za kiungwana zaidi! Kama vp tupia namba yako tuchat whatsapp! Ofa kwa walio macho tu na wenge mood za kuchat...ambao kesho hawawahi job! Hayaaaa....
Note: Sitaki madongo jemeniiii...ni kwa uzuri tu
Note: Sitaki madongo jemeniiii...ni kwa uzuri tu