falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,227
- 9,356
jihadhari tu na 'pampaluma mlango wa chuma,ukiufungua hauna huruma'
Mombasa hakulipi?? Kinshasa kila mtu kajichubua kule si mwanamke wala mwanaume, jaribu kuangalia soko sehemu zingine.
Sasa hivi uko wapi?nategemea kwenda huku august
Heeee!! Kwaheri...!!falcon mombasa said:gharama za maladhi,
Mombasa hakulipi?? Kinshasa kila mtu kajichubua kule si mwanamke wala mwanaume, jaribu kuangalia soko sehemu zingine.
kuhusu nafasi za biashara kama unaweza kusafirisha hata gunia la ndizi basi nenda nalo...mara ya mwisho kwenda pande hizo walikua wana import mpaka mikate...chakula kinalipa sana huko tatizo kukifikisha..
Maladhi?
Bamutu ba Mombasa karibu hapa Lubumbashi eeh!! Kwa moyo moja banacongo wote penda karibisha sawa wewe ....mutu yoyote penda kuja huku karibishwa sana
Ni mimi papaa Mwamba mutu ya nzambe
Hahahahahah mkuu sorry we nenda tu askari hachagui uwanja wa vitaacha kuzingua basi
Ukuye huku Lubumbashi, sisi ma-papaa penda sana bageni toka pande yote. Sisi nakaribisha wewe, ukuye ukuye.
kinshasa ni mji mkubwa sana na unafursa nyingi sanaza kibiashara,ila unatakiwa kuwa makini sana kwani matapeli ni wengi sana wa nyinsia zote.