Kwa waliocheki Movie ya Merlin

Kwa waliocheki Movie ya Merlin

Daah Merlin ndio series pekee niliyofuatilia mwanzo mwisho! Nilipenda sana uhusika wa Lady Morgana ama kweli kikulacho kinguoni mwako.

Hivi kuna muendelezo wake kweli??

Legend of the seeker ipoje nayo?
 
mmmh..kweli!? hii nishaisika sehemu, kwamba Legend of the seeker ni balaa. Itabidi niitafute, though Merlin ilikuaa poa sanaaa. Wenzetu wako mbali mnooo

Tafuta ndugu hutolaa kila baada ya kisa mkasa
 
Jinsi inavyosifiwa nilipata hamu ya kuitafuta! Ile naanza kuicheki tu, mara watu na majambia na mikuki haoo... hapo hapo nikazima tv!Kinachonishangaza, Jumong niliipenda na bado naendelea kuipenda lakini zingine zote za majambia, including kubwa lao Game of Throne, zote zinanikata stimu!
 
Mkuu hii nitaipata wapi?? au popote wauzapo cd??
CD za kununua utauziwa magumashi unless kama series yenyewe sio popular! Zile ambazo popular, unless ununue eBay/Amazon ambako beo zao hazikamatiki lakini Ukienda Kariakoo, series ambayo ni season 1 & 2, utashangaa imekatwakatwa hiyo inafika hadi 4 seasons na CDs zenyewe nii poor quality! Kama una PC, learn how to download them... na kama lugha yao sio English, you just download subtitles na kui-install
 
Jinsi inavyosifiwa nilipata hamu ya kuitafuta! Ile naanza kuicheki tu, mara watu na majambia na mikuki haoo... hapo hapo nikazima tv!Kinachonishangaza, Jumong niliipenda na bado naendelea kuipenda lakini zingine zote za majambia, including kubwa lao Game of Throne, zote zinanikata stimu!

Hahahahahhhahahah polee!!!!! Inaonesha we muoga sana
 
Hahahahaaaa... siogopi majambia bhana, sema tu series za dizaini ile hazinipi stimu kabisa sijui kwanini!! Kuna mtu kila wakati ananishawishi kwamba series kama Game of Throne kuna bonge la stori ndani yake... anyway, nina mpango niiangalie upya kwa makini zaidi coz' stori ndiyo najali zaidi kwenye series kuliko action na ndio maana my favorite spy series ni The Americans and Homeland with that order... few actions but strong story line!
 
Jilazimishe tu kuiangalia, naamini baadavya epusodes tatu hutataka kuiacha. Merlin ni habari nyingine
 
CD za kununua utauziwa magumashi unless kama series yenyewe sio popular! Zile ambazo popular, unless ununue eBay/Amazon ambako beo zao hazikamatiki lakini Ukienda Kariakoo, series ambayo ni season 1 & 2, utashangaa imekatwakatwa hiyo inafika hadi 4 seasons na CDs zenyewe nii poor quality! Kama una PC, learn how to download them... na kama lugha yao sio English, you just download subtitles na kui-install

Mimi nilikua ninazi download na nilifanikiwa kuvdownlad series zote tano.
Ila nilikereka sana walipofikisja series nne maana mpaka kutoa ile ya tano walituchomesha mahindi kwa sana tu, mpaka tukaunguza.
 
Jilazimishe tu kuiangalia, naamini baadavya epusodes tatu hutataka kuiacha. Merlin ni habari nyingine
I agree with you manake haya mambo wakati mwingine yanahitaji uvumilivu! I still remember 24 ya Jack Bauer... mara ya kwanza ile naiangalia tu nakuta watu wamevaa yale makofia ya Vietnam, nikaona wananizingua nikatoa CD nikatupa kule! Ikapita kama miaka miwili hivi... cku moja nipo ghetto, nipo completely idle... cna movie wala a new series, basi katika angaza angaza yangu nikaikuta tena 24 imekaa kihasarahasara! Nikaona sio issue, nikaamua tu kuiweka tena ili iniletee usingizi... e bhana eeh; sina haja ya maelezo zaidi ila tu nachokumbuka siku ya pili asubuhi nikajikuta nipo Kariakoo kutafuta Season 2!
 
Mimi nilikua ninazi download na nilifanikiwa kuvdownlad series zote tano.
Ila nilikereka sana walipofikisja series nne maana mpaka kutoa ile ya tano walituchomesha mahindi kwa sana tu, mpaka tukaunguza.
Waliwachomesha mahindi kivipi? Isije kwamba wakati unazi-download hizo 1-4 ulifanya hivyo wakati zimeshatoka na hiyo 4 ikiwa ndo kwanza imetoka! Sasa katika mazingira kama hayo, 1-4 obvious utai-downloand papo kwa papo lakini 5 lazima usubiri! What I mean, assume unaitaka The Americans! The Americans 1-3 tayari ipo online lakini hiyo 3 tangu iishe it's almost a month now! Sasa unaweza kui-download 1-3 papo kwa papo lakini kuipata The Americans S04 itabidi uchome mahindi mwaka mzima!!!
 
merlin imenifunza mengi kwanza kiongozi ni mtu anayejitoa kwa matatizo ya wananchi wake pia adui yako atoki mbali ebana mule kuna wasaliti balaa pia ukiangalia utagundua kuwa njia bora ya kutatua matatizo ni kusoma vitabu na kutafuta ushauri kwa watu wenyekujielewa licha ya uchawi ni tamthiliya kali ile mbaya
 
Back
Top Bottom