Kwa waliocheki Movie ya Merlin

Kwa waliocheki Movie ya Merlin

my favourite series of all tym. sijaona series ya kuifikia merlin, sijui legend of the seeker, sijui once upon a tym, sijui nini tupa kule, kitu emiresss mtoto mdogo akili kumkichwa
 
mi napenda tu busara za merlin... dogo kaigiza fresh yani hama makuu hataki kusifiwa. . . mambo yake kimyakimya.
 
In the name of myth. The time of majic. The desteny of the great kingdom rest of the shoulder of the young boy. His name............kijana balaaa
 
merlin imenifunza mengi kwanza kiongozi ni mtu anayejitoa kwa matatizo ya wananchi wake pia adui yako atoki mbali ebana mule kuna wasaliti balaa pia ukiangalia utagundua kuwa njia bora ya kutatua matatizo ni kusoma vitabu na kutafuta ushauri kwa watu wenyekujielewa licha ya uchawi ni tamthiliya kali ile mbaya
upo sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom