Kwa waliocheki Movie ya Merlin

Kwa waliocheki Movie ya Merlin

Mhh hiyo muvi tamu,ila kwa sasa Empire inanidatisha zaidi
 
mi bwana nlikua naipenda sauti ya ule dragon
haswa akiwa anamuita merlini young warlock
 
Marlin waliharibu pale mwishoni anapotokea mjini.
 
wabongo kwa kujifanya tunajua kila kitu,sasa we ulitaka wamaliziaje?
Sasa yeye hajaridhishwa na hicho kipande we unasema kwa kujifanya Wanajua
kama hupendi keki si unasema tu sipendi mbona mkuu katumia haki yake vizuri?
 
Sasa yeye hajaridhishwa na hicho kipande we unasema kwa kujifanya Wanajua
kama hupendi keki si unasema tu sipendi mbona mkuu katumia haki yake vizuri?

pale Merlin anaonekana akitokea mjin akiwa mzee tayar! hii ikiwa na maana kuwa ni baada ya muda mrefu kupita, na kumbuka wakati akiwa camerlot alikuwa kijana!! " bonge la episode "
 
Back
Top Bottom