Kwa waliobobea mambo ya solar

Kwa waliobobea mambo ya solar

Tatizo huyo jamaa kakalili mambo ya umeme analeta ubishi usio na msingi ajui kuwa zipo solar za 30watt 24v ,32v nk hivyo hiyo hesabu yake ya kukalili itamtokea puani

Nafikiri mmenielewa vibaya,sikuwa na nia mbaya ya kumkwaza yeyote.
Ukitaka kujifunza au kujua zaidi kitu ni vizuri wakati mwingine kukubali kuwa kila kitu kina kanuni(theory) yake kabla ya kukitazama kwa upande wa Practical.
Natambua kuwa kuna watu wamefikiria kuwa nimewadharau kwa kusema ukweli.
Unapotambua kuwa wewe ni mtalaam uliyebobea inabidi uwe na uwezo wa kujua tofauti ya feki na original.
Mahesabu niliyotoa humu ni Solar Original siyo solar feki. Solar feki inabidi uipime juani na meter kama mchangiaji mmoja alivyosema.
Ikiwa nilichosema ni uongo au ujuaji naomba yeyote anayeweza kupata mahesabu sahihi ya kupata Amperes za solar kwa kukotoa,tofauti na formula niliyotumia anieleweshe.
Nitathamini mchango wa yeyote mwenye formula sahihi ya kukotoa amperes za solar tofauti na ninavyojua.
 
Sijakalili hesabu nilizotoa ni za 12V. Solar ziko configuration nyingi. ziko za 24V,36V,48V,60V,100V mpaka 500V mwisho.
Kanuni ni ile ile unacheza na wattage, Voltage na Amperes.
Naomba Radhi Kama nimekukwaza, sikuwa na nia mbaya.
 
Hapa tuna share tuu ideals yaunachojua halafu watu wengine nao wataangalia mchango wako upo vipi na wapi wauongezee nyama kidogo so umeme ni mpana sana unaweza ukawa mzuri kwenye solar halafu ukawa sio mzuri sana kwenye transformers maana kwenye electrical engineering tunasoma vitu vingi mno so kupitia hii forum tunakutana na watu tofauti tofauti na ndio tunabadilishana ujuzi tofauti tofauti kutoka vyuo mbali mbali kama MUST,DIT,UDSM,ATC N.K
 
21501ba8ea604a6ccbf99f627c0fc298.jpg

Ukicheki hiyo picha utaona kwamba solar pv ambayo inatengeneza kwaajili ya 12V system huwa inavoltage ya 17.21V hii ndio standard ya kimataifa so kupata rated current unayoiona kwenye hiyo name plate ambayo ndio current inayotolewa na panel unachukua power ya panel ambayo kwenye hiyo name plate ni 123watts unagawanya kwa 17.21V jibu lake ni 7.15A ambayo ukicheki ndio imeandikwa hapo kwenye panel kama rated current.
Ukicheki pia kwenye name plates za solar pv wanaandikaga pia Isc yani short cct current hiyo kazi yake ni kukuwezesha wewe kufanya mahesabu ya kupata charge controller rating
So kiufupi panel zote zinazotumika kwenye 12V system zinatengenezwa zikiwa na 17.21V so kwenye mahesabu ya kutafuta rated current ya panel tumia 17.21V kutafuta current ya panel.
Nazani nimejitahidi kukuelekeza kama nimekosea waweza nisahihisha
 
Ndo hivyo kama solar ina volt 17 watt 30 siunagawanya tu kupata amp ila kima hesabu 12v ndo utumika kuchaji betri hiyo chajicontll moja ya kazi yake ni kuzifanya ziwe 12v ila hapo kuna mambo mengi hata kwenye chajicontl kuna power inapotea kwahiyo mambo ni mengi hiyo ampere utakayopata kwenye solar panel inazidi kupungua kwenye chajicontl na unene wa nyaya na kadharika mm nilikuwa nazungumzia uitaji wa kuchaji betri ya 12v kwa 30 w ambapo hapo amp ni 2.8 hivi na jinsi ya kujua muda kiasi gani hitatumia ndo mana wewe sikukubishia uliandika sawa habari ya 10% of N yabetri Mimi ninazo solar panel za 13.5v hivyo kujua volt ni vizuri kupima mana ufundi wa solar siyo lazima ukute mpya na yenye stika ya maelekezo je ukiitwa kutengeneza solar chakavu itakuwaje pia solar zina cell zinaweza kuwa zimekufa ndani ufungwa series na pallare au vyovyote sawasawa na muundaji
 
Wakuu asanteni sana kwani nimejifunza kwa kina kuhusu solar na sasa naomba nifunge mjadala huu,kwa heshima na tahadhima hadi hapo nitakapokuwa na jambo jingine kuhusu solar.Nawasilisha!
 
Maalum kwa wataalamu wa solar power
 
Itachaji ila utumie taa tu tena zisizidi nne.

Nikweli umeme wenyewe ni DC lakini (battery charger) inatakiwa iwe na current ya kutosha

21501ba8ea604a6ccbf99f627c0fc298.jpg

Ukicheki hiyo picha utaona kwamba solar pv ambayo inatengeneza kwaajili ya 12V system huwa inavoltage ya 17.21V hii ndio standard ya kimataifa so kupata rated current unayoiona kwenye hiyo name plate ambayo ndio current inayotolewa na panel unachukua power ya panel ambayo kwenye hiyo name plate ni 123watts unagawanya kwa 17.21V jibu lake ni 7.15A ambayo ukicheki ndio imeandikwa hapo kwenye panel kama rated current.
Ukicheki pia kwenye name plates za solar pv wanaandikaga pia Isc yani short cct current hiyo kazi yake ni kukuwezesha wewe kufanya mahesabu ya kupata charge controller rating
So kiufupi panel zote zinazotumika kwenye 12V system zinatengenezwa zikiwa na 17.21V so kwenye mahesabu ya kutafuta rated current ya panel tumia 17.21V kutafuta current ya panel.
Nazani nimejitahidi kukuelekeza kama nimekosea waweza nisahihisha

Hapa tuna share tuu ideals yaunachojua halafu watu wengine nao wataangalia mchango wako upo vipi na wapi wauongezee nyama kidogo so umeme ni mpana sana unaweza ukawa mzuri kwenye solar halafu ukawa sio mzuri sana kwenye transformers maana kwenye electrical engineering tunasoma vitu vingi mno so kupitia hii forum tunakutana na watu tofauti tofauti na ndio tunabadilishana ujuzi tofauti tofauti kutoka vyuo mbali mbali kama MUST,DIT,UDSM,ATC N.K

Sijakalili hesabu nilizotoa ni za 12V. Solar ziko configuration nyingi. ziko za 24V,36V,48V,60V,100V mpaka 500V mwisho.
Kanuni ni ile ile unacheza na wattage, Voltage na Amperes.
Naomba Radhi Kama nimekukwaza, sikuwa na nia mbaya.
Uzi maalumu wa solar tukutane hapa

Maalum kwa wataalamu wa solar power
 
Hivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?
panel watts 30 itachaji vizuri betri ya 20Ah pia uwe na controller ya 10Amps...

panel ya Watts 65 ndio suitable kwa kuchaj betri hiyo ya 40Amps.
 
mbona ni obvious unachukua inveta unaweka ktk umeme wa kawaida(Tanesco) kisha waya zilizobak za inveta wachomeka ktk betri.
 
Nafikiri mahesabu yako umekosea.
Huwa yanapigwa hivi: 30W/17.5V=1.7Amps.
17.5V ni solar voltage at Peak Power, yaani solar voltage wakati hali ya jua iko kwenye kiwango kizuri kabisa.
Kiasi cha Amps kwa solar huwa kinabadilika kulingana na hali ya jua.
Hakiko stable.
Mahesabu ya solar yako complicated kidogo siyo kama ya system ambayo iko stable mda wote.
Huwezi ukahesabu hivi ni makosa, kwasababu kumbuka betri zako zinatakiwa kuingiza (input V) 12 to 13 volts : hivyo hata kama panel zako zinatoa 17V lazma uweke control itakayoshusha hadi 12,13 v ili kumatch na betri yako --- otherwise hao manufacturer waliweka assumptions kuwa kama kuna umbali kutoka kwenye panel hadi betri zilipo basi tutaashumu kutakuwa na voltage drop may be itashuka hadi 12v.

Ila huwezi kuchukua 30W/17. 5V=1.7A ukahesabu ndio jibu sahihi , hz ni theories.
Practicable ni kuwa kinachoingia kwenye betri allowable ni 12V ukizidisha unaiua.

Mahesabu sahihi ni 30W/12V

Note:
Hapa tumeongelea betri ya 12V
Note that zipo varieties za batteries voltage
 
Ndo hivyo kama solar ina volt 17 watt 30 siunagawanya tu kupata amp ila kima hesabu 12v ndo utumika kuchaji betri hiyo chajicontll moja ya kazi yake ni kuzifanya ziwe 12v ila hapo kuna mambo mengi hata kwenye chajicontl kuna power inapotea kwahiyo mambo ni mengi hiyo ampere utakayopata kwenye solar panel inazidi kupungua kwenye chajicontl na unene wa nyaya na kadharika mm nilikuwa nazungumzia uitaji wa kuchaji betri ya 12v kwa 30 w ambapo hapo amp ni 2.8 hivi na jinsi ya kujua muda kiasi gani hitatumia ndo mana wewe sikukubishia uliandika sawa habari ya 10% of N yabetri Mimi ninazo solar panel za 13.5v hivyo kujua volt ni vizuri kupima mana ufundi wa solar siyo lazima ukute mpya na yenye stika ya maelekezo je ukiitwa kutengeneza solar chakavu itakuwaje pia solar zina cell zinaweza kuwa zimekufa ndani ufungwa series na pallare au vyovyote sawasawa na muundaji
Mkuu umeongea barbara kabisa, ila kuna kitu naomba niongezee kuwa swala la kuchajiwa kwa betri litategemea na mfuko wa mteja. Nyie mngemwambia kuwa kama mfuko wake upo vizuri anunue hata watt 150 ili achaji betri zake kwa muda mfupi zaidi ila kama hajali muda basi achukue hata 10W kwa bei nafuu ila itachukua labda hata siku 3 kujaa.

Ushauri wangu ni huu. .
Hiyo betri inachajika kwa 30W ila itachukua muda wa masaa 15 kujaa ila
Kwa kuwa jua linatoka kwa masaa 6-8 effectively, basi achukue 70W (ili kuwa cost considerable) ambayo itajaa kwa hayo masaa including losses.
 
Back
Top Bottom