Kwa waliobobea mambo ya solar

Kwa waliobobea mambo ya solar

Hivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?
Mbona rahisi sana kujua hiyo solar panel ya watt30 itachukua muda gani kuchaji betri ya n40
30w/12v=2.8amp hii ndiyo amp ya solar yako ukitaka kujua muda gani utatumika kuchaji betri LA n40 ÷2.8amp = 15hrs
Hapo utatakiwa uichaji kwa muda usiopungua masaa 15 ya jua
 
Ukinunua solar ya 60w itatumia masaa10 kujaza n40
 
Hivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?

Kwa haraka haraka kabla hata hujasema system yako inatumika kwa ajili ya shughuli gani solar panel yako ni ndogo.
Panel yako ina uwezo wa kuchaji na 1.7 Amps wakati hali ya jua iko kwenye kiwango cha juu kabisa. hiki kiwango ni kidogo sana kuchaji hii battery.
Ukitaka kujua ukubwa hasa wa panel inayotakiwa lazima ujue matumizi yako ya umeme ni kiasi gani. vilevile hata hiyo battery inawezekana ikawa ndogo kulingana na matumizi.
Kwa ushauri zaidi NI PM nitakusaidia ukishakuwa nataarifa hizo mhimu juu ya matumizi yako.
 
Mbona rahisi sana kujua hiyo solar panel ya watt30 itachukua muda gani kuchaji betri ya n40
30w/12v=2.8amp hii ndiyo amp ya solar yako ukitaka kujua muda gani utatumika kuchaji betri LA n40 ÷2.8amp = 15hrs
Hapo utatakiwa uichaji kwa muda usiopungua masaa 15 ya jua

Nafikiri mahesabu yako umekosea.
Huwa yanapigwa hivi: 30W/17.5V=1.7Amps.
17.5V ni solar voltage at Peak Power, yaani solar voltage wakati hali ya jua iko kwenye kiwango kizuri kabisa.
Kiasi cha Amps kwa solar huwa kinabadilika kulingana na hali ya jua.
Hakiko stable.
Mahesabu ya solar yako complicated kidogo siyo kama ya system ambayo iko stable mda wote.
 
Hiyo 17v itakuwa betri mkuu nilazima kuwe na chaji kontro ili volt zisizidi12v au 13v hivyo nipo sahihi na wewe upo sahihi solar nilazima uwe na legurator za kufanya volt ziwe sawa hata jua likizidi kwa sababu volt zinatakiwa ziwe 12v kuchaji betri ya volt 12
 
Hayo yote mm nayajua Mimi naunda hizo invertar ukitaka kumwelewesha mtu unatakiwa kutumia akili mfano hapo unachukulia tu ni 30w ujue jua likipungua hata watt ya solar upungua kwahiyo hapo utakiwi kumwelewesha MTU jinsi usemavyo wewe kwahiyo 30w÷ 12v ni sahihi
 
Kuunga pv parallel au series kunategemea system voltage.unapounga parallel unaongeza current na unapounga series unaongeza voltage. So unapoongeza current maana yake unaongeza uwezo wakujaza battery charge kwa haraka zaidi.
Shukrani mkuu.. Panel 200w ina apere ngapi? Na 100w ina ampere ngapi?
 
Panel ya 200W=200w/17.5=11.4Amps, Panel ya 100W=100w/17.5=5.7Amps
Kumbuka hizi ni Ampere Panel inapokuwa kwenye Mwanga mzuri kabisa wa jua(Maximum Peak power amperes)
Mahesabu ya solar siyo rahisi sana kama baadhi ya wachangiaji wanavyotaka kuaminisha,
 
Hayo yote mm nayajua Mimi naunda hizo invertar ukitaka kumwelewesha mtu unatakiwa kutumia akili mfano hapo unachukulia tu ni 30w ujue jua likipungua hata watt ya solar upungua kwahiyo hapo utakiwi kumwelewesha MTU jinsi usemavyo wewe kwahiyo 30w÷ 12v ni sahihi
Kama unayajua mahesabu usipotoshe watu.
Panel ya 30W ni amperes 30/17.5V=1.7Amps.
Ukimwambia panel ya 30W ni 30/12=2.5Amps hapo umeshampotosha.
Atakapopiga mahesabu kwa 2.5 Amps badala ya 1.7 Amps system yake ita undercharge na itamsumbua.
tatizo linalosumbua wateja wengi wa solar ni Mafundi kutojua namna nzuri ya kupiga mahesabu ya solar na hivyo kumsababishia mteja usumbufu unaotokana na System overload or undercharging.
tujaribu kuwa wakweli.
 
Hiyo 17v itakuwa betri mkuu nilazima kuwe na chaji kontro ili volt zisizidi12v au 13v hivyo nipo sahihi na wewe upo sahihi solar nilazima uwe na legurator za kufanya volt ziwe sawa hata jua likizidi kwa sababu volt zinatakiwa ziwe 12v kuchaji betri ya volt 12
Hiyo Volt 17.5 ni kiwango cha kupigia mahesabu ya amperes za solar.
Siyo kiasi cha kuchajia battery.
ndiyo maana lazima uwe na charge controller kama unataka battery yako isife haraka kwa ajili ya overcharging.
 
Unayajua mahesabu ya transform yanavyo fundishwa step kwa step ukiingia kwa undani kuna power inayo potea kwenye transform
Input power = out power sasa nakuuliza ni kweli hipo hivyo mana unajidai mjuaji sana na kudhani wengine atujui .nilicho kueleza MTU aliye omba kueleweshwa aitaji maelekezo magumu sasa wewe unaye sema Mimi sijui wakati dhana ukuikanusha ambayo ni watt ya solar÷ volt za solar = ampere ya solar .baada ya hapo n40 ÷ ampere= masaa ya kujaa betri kama dhana hipo sawa usisubutu kuni underestimate utaumia wewe siyo kiwango changu .hayo mahesabu ya solar hayana u complicated wowote labda uwe bichwa panzi
 
Kama vipi condoliza na iwiva tuanzishe thread ya solar pv system sizing nazani hii itatoa mwanga kwa watu wengi wenye maswali ya ninamna gani ya kufunga system nzuri ya solar ambayo mtu akifuata hizo steps hatajutia.
 
Tatizo huyo jamaa kakalili mambo ya umeme analeta ubishi usio na msingi ajui kuwa zipo solar za 30watt 24v ,32v nk hivyo hiyo hesabu yake ya kukalili itamtokea puani
 
Hivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?
Mi mpaka saiz nachat simu naichaji kwa betri N40 na kipande cha solar cha watt 15 tu. Yaan huwa nawasha taa 5 na kusikiliza radio ndogo masaa 24 pia simu nachaji muda wowote. Nipo kilolo iringa hali ya jua sio nzur maana kuna baridi sana huku lakin watt 15 inajaza N40
 
Kama vipi condoliza na iwiva tuanzishe thread ya solar pv system sizing nazani hii itatoa mwanga kwa watu wengi wenye maswali ya ninamna gani ya kufunga system nzuri ya solar ambayo mtu akifuata hizo steps hatajutia.
Njia isiyo na shaka ya kujua watt na ampere ni kuiweka solar juani wakati jua lipovizuri kisha unachukua multimeter unapima output volt na ampere kisha unazidisha unapata watt sahihi ya solar yako siyo huyo boya anaropoka ovyo ajui zipo solar vimeo wanabandika tu stika za watts kumbe uongo
 
Back
Top Bottom