Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Ndio wakuu....
Kwa wale wenzangu tulionufaika na HESLB na tupo kwenye ajira hivi washaanza kukata ile 15% waliyosema??
Maana mie nimechek salaty slip ya December na January bado.
Nasubiri salary slip ya mwezi huu nione itakuaje (Ee Mola saidia wasiwe wameanza kunikata)
Sasa nasikia kuna wengine wanasema washaanza kukatwa
Wengine wanasema bado, muswada umepelekwa bungeni cjui kurekebisha kipengele gani.
Ama wanaenda kwa awamu, mwezi huu sekta fulani then mwezi ujao sekta fulani.
Ahsante.