Kaka Huawei unayo refer wewe ni ipi coz nimeingia Jumia nimekuta toleo kama hili ninaloulizia hapa na bei inauzwa juu zaidi au ziliisha?Ila Kama modem za 4G jumia wanauza za huawei 53000 zinakubali laini zote.
Huawei E3372 LTE USB stickKaka Huawei unayo refer wewe ni ipi coz nimeingia Jumia nimekuta toleo kama hili ninaloulizia hapa na bei inauzwa juu zaidi au ziliisha?
Model 1
Moderm D-Link HSPA+USB 4G Dongle - 21.6MBPS
Model 2
4G HSDPA Modem
Au we unazungumzia ipi kati ya izo model 2 juu??
Kama unaweza agiza kutoka eBay maana nimeona Tigo wanaziuza 100000 na bado zipo locked.Basi zitakua out of stock nimejaribu kucheki nimekuta hizo mbili tuu
Kama ni ile ile hizo nahis zinachakachulika ila sina uhakika.Ngoja nifatilie za TTCL naona kama wameshusha bei nao wanauza 50,000 sijui zipo locked nadhani ni model ile ile.
Hii bei uneiona wapi ya 50,000/=Ngoja nifatilie za TTCL naona kama wameshusha bei nao wanauza 50,000 sijui zipo locked nadhani ni model ile ile.
Ndoa ya kikristu hiyo haitoki hata lock unabaki kuwa mteja wa Smile
sijakusoma mkuu nahitaji msaadaNdoa ya kikristu hiyo haitoki hata lock unabaki kuwa mteja wa Smile
Ukishafunga ndo ya kikristu hauwezi oa tena bila mke kufa!sijakusoma mkuu nahitaji msaada