The kingmaster
Member
- Aug 21, 2018
- 20
- 21
Nacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursa
Uwe makini dogo inaweza kuwa muundo wa kwanza kuwahi.Shukrani kwa taarifa
OkShukrani kwa taarifa
kaka kwahyo inatakiwa kuwahii sana nitajie kozi nzuri za kusoma kwa afya kwa matokeo haya Physics C Chemistry C Bios B na Math D make nine apply co nimekosa
Nacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursaView attachment 1201135
Hapa kuna utata tu, NACTE ipi inaongelewa? Ukienda kwenye website yao hakuna hiyo taarifa. Ukisoma kalenda yao ya udahili majina watatoa October 5, 2019. Kama selections hazija toka sasa utajuaje umekosa? Utakuwaje na dirisha dogo wakati hilo kubwa halija leta matunda. Nafikiri tatizo moja la NACTE ni kuwa na mifumo tofauti kwa program tofauti-nasikia kuna program unaomba kupitia NACTE portal na program nyingine unaomba kupitia chuo moja kwa moja, na nyingine zinapitia TAMISEMI. Wizara ya Elimu na Afya zina sauti kubwa sana na sio wizara nyingine-haya yote yanachanganya watu. Hivyo Dr Akwilapo anapoiagiza NACTE hatujui ni nini anakimaanisha bila NACTE kutoa ufafanuzi.Mbona nacte haijafunguliwa?
Sijaelwa hapo kule kwenye calendar wanasema 5 october ndo wanatoa majina sasa inakuwaje hapo dirisha dogo tena wakt hatujui kama tumechaguLiwa au lah kwa ss wa diploma msaada tafadhali jombaaasNacte imeongeza muda wa udahili kuanzia tarehe 7 - 21 september 2019, kazi kwenu kuitumia fursaView attachment 1201135
Nacte hiyo hiyo na majina ya waliochaguliwa tayari yalishatolewa mbonaHapa kuna utata tu, NACTE ipi inaongelewa? Ukienda kwenye website yao hakuna hiyo taarifa. Ukisoma kalenda yao ya udahili majina watatoa October 5, 2019. Kama selections hazija toka sasa utajuaje umekosa? Utakuwaje na dirisha dogo wakati hilo kubwa halija leta matunda. Nafikiri tatizo moja la NACTE ni kuwa na mifumo tofauti kwa program tofauti-nasikia kuna program unaomba kupitia NACTE portal na program nyingine unaomba kupitia chuo moja kwa moja, na nyingine zinapitia TAMISEMI. Wizara ya Elimu na Afya zina sauti kubwa sana na sio wizara nyingine-haya yote yanachanganya watu. Hivyo Dr Akwilapo anapoiagiza NACTE hatujui ni nini anakimaanisha bila NACTE kutoa ufafanuzi.
Ingia kwenye website ya nacte utakutana na Selection 2019/2020 utaangalia kama umechaguliwaSijaelwa hapo kule kwenye calendar wanasema 5 october ndo wanatoa majina sasa inakuwaje hapo dirisha dogo tena wakt hatujui kama tumechaguLiwa au lah kwa ss wa diploma msaada tafadhali jombaaas
Ukifuata sana kalenda yao utapoteaSijaelwa hapo kule kwenye calendar wanasema 5 october ndo wanatoa majina sasa inakuwaje hapo dirisha dogo tena wakt hatujui kama tumechaguLiwa au lah kwa ss wa diploma msaada tafadhali jombaaas