Kwa walimu wote Tanzania

Kwa walimu wote Tanzania

Kama wewe ni mwalimu tupia namba yako ya simu hapa ili uunganishwe na group la whatsap nchi nzima, ambapo pamoja na mambo mengine utapata kunufaika na yafuatayo:-
1.kupata nyaraka mbalimbali za utumishi.
2.kujua haki zako na namna ya kuzidai .
3. Ufafanuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo ualimu.
4.kupata mtandao wa watu mnaofanana kitaaluma nchi nzima. Etc
weka namba yako kwanza ili wakutafute, na utathibitisha vipi kila alie jiunga ni mwalimu
 
Mim sio mwalim ila hapo badae nategemea kuwa mwalim niungee 0762414004
 
Jaribu tena baadae! Idia nzuri ila bado hatujakua na uhuru huo
 
We create hilo group then tuwekee link tujiunge Habar za namba now days zilipendwa
 
Kusema hivyo ni sawa na kutupa kokoro ziwani utavua mpaka mipaka badala ya samaki
 
Back
Top Bottom