MDAU2014
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 278
- 89
Kama wewe ni mwalimu tupia namba yako ya simu hapa ili uunganishwe na group la whatsap nchi nzima, ambapo pamoja na mambo mengine utapata kunufaika na yafuatayo:-
1.kupata nyaraka mbalimbali za utumishi.
2.kujua haki zako na namna ya kuzidai .
3. Ufafanuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo ualimu.
4.kupata mtandao wa watu mnaofanana kitaaluma nchi nzima. Etc
1.kupata nyaraka mbalimbali za utumishi.
2.kujua haki zako na namna ya kuzidai .
3. Ufafanuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo ualimu.
4.kupata mtandao wa watu mnaofanana kitaaluma nchi nzima. Etc