Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hata wewe nyumbu unaongea! Ila sishangai kwa sababu mwalimu anapewa maagizo na wizara zote nchini. Mwalimu anatumwa hadi na mkulima asiyejua kusoma wala kuandika. Amekuwa mkulima, daktari, polisi, hakimu, afisa kilimo na mifugo, afisa afya n.k. Akifanikisha hapongezwi, ila akikosea tu hadi mende wanainuka kukosoa. Loooh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huninulii bando ninaongea ninavyotaka. Huyo ni mmuaji,sio mwalimu wa kawaida, mwalimu anayependa profession yake hapati shida yoyote, tafuta walimu ambao wanapendwa utajua na kujifunza kitu, tatizo mnaenda ualimu sababu hamna choice nyingine kutokana na marks zenu,hii system ya kurecruit kila mtu ndio inatucost,wanaajiriwa wengine ni wauaji. Naishauri wizara apart from kuchukua walimu kutokana na marks zao,wangeweka pia diagnostic test kupima character ya muombaji/mwalimu mpya mwanafunzi