Kwa Walimu Wote, Bara na Visiwani

Kwa Walimu Wote, Bara na Visiwani

adhabu imetolewa kulingana na kosa nalo ni kuua kwa kukusudia. Huyu Mungu wa ajabu sana tena sana, ni bodaboda wangapi ukisahau mzigo wako kwake anakuletea? lakini bodaboda wa watu akapeleka mzigo wa watu na hapo ikaonekana mtoto hakuwa na hatia ila mwalimu alikusudia kumuua. Mungu yupo kutetea wanaonyanyaswa na hili ni funzo kwetu sote, usihukumu usije ukahukumiwa
Tumuachie Mungu atatoa hukumu inayostahilo kwa wahusika wote wa hii kesi!
 
Kwani ukimpa mtoto adhabu inayotambulika kisheria unapungua nn, yaani unataka kuhalalisha hayo mauaji. Inauma mtoto katoka home mzima alafu unaletewa taarifa kapewa adhabu hadi mauti imemkuta weeee ntakuferemenda we mwl. yaani sikuachi hata kwa dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
mijinga sana inahalalisha ujinga. kama wana stress kwa nini wasiende kambi ya FFU au ya jeshi kufanya fujo? wakifanya hivyo nitaamini kweli wana stress mbaya sana. kama mwalimu/ walimu wakienda kufanya fujo kambi ya jeshi ama FFU nitaamini wana stress sana na serikali iwaongezee mshahara na kuwajengea nyumba hao walimu mara moja bila hivyo ni uhuni tu.
 
acha kuandika ujinga mkuu, adhabu inatakiwa itolewe ila ni kwa mujibu wa sheria na taratibu na utakapotoa adhabu nje ya utaratibu uliowekwa lolote litakalotokea ulikusudia ufanye hivyo. yaani unamchapa mtoto fimbo zaidi ya kumi tena sehemu mbalimbali halafu tuone sawa tu?

hivi patia picha yule mtoto alivyoteseka wakati anapigwa na kuni tena kichwani,leo unatetea ujinga. na mtanyongwa sana kama mnaona mnafundisha mifugo. kama unaona jukumu la kufundisha bila kutoa adhabu kali acha kazi kuna watu wako passionate kweli na wanapenda ualimu sana waache hao.
Yaani mkuu kuna watu humu ni matumbafu sana, inauma aisee vuta picha ndio mwanao anatamani ungekuwa pale umuokoe na hayo mafimbo, mimi nasema azabu itolewe kwa mujibu wa sheria kinyume na hapo walimu mtatuchukia wazazi kwa hili sikopeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mijinga sana inahalalisha ujinga. kama wana stress kwa nini wasiende kambi ya FFU au ya jeshi kufanya fujo? wakifanya hivyo nitaamini kweli wana stress mbaya sana. kama mwalimu/ walimu wakienda kufanya fujo kambi ya jeshi ama FFU nitaamini wana stress sana na serikali iwaongezee mshahara na kuwajengea nyumba hao walimu mara moja bila hivyo ni uhuni tu.
Kwa hizo stress watanyongwa sana tu, utafikiri hawana watoto hata chembe ya ubinadam hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sure mkuu,hii adhabu aliyopewa huyu mwalimu ambae mshahara wake hauzidi laki 7 kwa mwezi ni kubwa mno na sijui imetolewa kwa kuangalia vigezo vipi.

Kwa nini basi hakubadilishiwa mashitaka kuwa kuua bila kukusudia.Mbona askari wakiua wakati wa utekerezaji wa majukumu yao hawapewi adhabu za namna hii
Hivi kweli umeandika hilo kwa ajili ya askari au kutokana na uhalisia wa jambo, Assume wewe ndiye mzazi wa mtoto Respius halafu vuta picha nini kitakujia kichwani mwako, by the way mahakama iliyotoa maamuzi sio ya mwsho inabidi akae na wakili wake wakate rufaa juu ya maamuzi ya mahakama kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujificha kwenye kichaka cha STRESS/FRUSTRATION, kama kazi ngumu acheni lakini sio kugeuka VAMPIRES kwa watoto wetu!
Walimu kama wanaishi kwa stress kutokana na kazi ngumu na malipo kidogo, je makonda wanaishije? wabeba zege watakua wanaishije? Mama ntilie watakua wanaishije? Wakulima vijijini wanaishije? Machinga wanaishije? Wahitimu wa vyuo vikuu wasio na kazi wanaishije?

Waalimu acheni kujifanya ndio mna maisha magumu kuliko wote, kuna watu wakipewa kazi yenu watajihisi wapo peponi
 
Hapa kinachosumbua ni ile hali ya mwanafunzi kufa. Yaani mihemko ya kumfanya mzima akawa maiti. Hakika nawambia hata kama mwalimu angemgusa tu mwanafunzi na akafa haya yote yangetokea. Ila kama asingekufa hata kama angepigwa mara mia zaidi ya alivyopigwa hakuna ambacho kingejadiliwa hapa. Huwa naangalia hata dreva akigonga mtu na akafa. Maiti hupewa haki hata kama inamakosa
 
Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha mtoto baada ya kuadhibiwa na mwalimu, lakini naamini kwa mwalimu yeyote aliyesikia Hukumu hii lazima ametafakari kwa undani juu ya hatima yake katika kazi yake. Binafsi napenda kuwashauri WALIMU ACHANA na watoto wa watu, nashauri mwalimu abakize kazi moja tu ya KUFUNDISHA NA KUELEKEZA. Nahisi wakati umefika wa mwalimu kuachana na kutoa adhabu kwa watoto hasa adhabu zinazo gusa mwili moja kwa moja, hakuna anayependa mtoto alelewe hovyo lakini kwakuwa Nafsi ya MTU ni TAMU ni vyema kabisa mwalimu apoteze kazi siku ukibainika umeshindwa kuwalea vizuri wanafunzi kuliko kupoteza UHAI wako Kisa tu ulikuwa unamjenga mtoto wa MTU. Acha wafeli, acha wawe majambazi, acha wawe na nidhamu mbovu, acha wabebe mimba nk lakini msitoe adhabu ambazo zinaweza kupelekea matatizo makubwa kama kuuwaumiza watoto kiasi cha kuleta Ulemavu, Matatizo ya kisaikolojia na pengine kuleta Vifo. Nimeyaandika Haya kwani naamini mwalimu ni mlezi, mlezi hawezi kutoa adhabu akiwa amelenga kumdhuru mtoto, lakini hakuna ajue kilicho mbele yake , unaweza kumgusa mtoto kumbe huo ndo ulikuwa mwisho wake, hatimaye unaishia kwenye mikono ya kitanzi, jera nk. Haya mambo yanaumiza sana, hakuna mzazi anayependa kumpoteza mtoto wake vivyo hivyo hakuna mwalimu anapenda kupoteza maisha yake au kazi yake. Walimu nawaomba na kuwasihi, jitafakari upya na kama itawezekana hata nchi nzima huo uwe mfumo na utaratibu, kama mwanafunzi atakuudhi kupindukia basi omba ruhusa rudi nyumbani kalale. Usiogope, wakifeli hutakosa la kujieleza, wakikufukuza kazi rudi kwenu shika jembe kalime maisha si lazima upate msahara wengi hatuna mishahara na tunaishi. Poleni walimu, poleni wazazi, poleni wadau wa elimu na poleni walimu.
Kama umeongea ukweli,japo na wewe umetumia jazba,mimi najua mwalimu yake lawama,sitoadhibu mtoto wa mtu.
 
we ni mpumbavu kabisa, nadhani hujazaa wewe, huna mtoto wewe unaishi kwa wazazi bado. kwa kosa alilofanya huyo mwl. kwa kumuadhbu vile mtoto bado unasema kapewa adhabu kubwa mno kweli?!! we ni kenge kabisa...watu tunatamani hadi kumkatia rufaa huyo mwl aliyeachiwa huru afu we unaongea mambo ya kipumbavu hapa. kwa fact zilizotolewa mbele ya mahakama ni dhahiri huyo mwl. alikusudia kuua, hiwezi mpiga mtoto kiasi kile. I'm a professional teacher from, adhabu kubwa na ya mwisho kwa mwanagunzi aliyefanya kosa kubwa kabisa hua ni kufukuzwa shule sio kumfanyia unyama kama ule
ok kaolewe basi na jaji aliyetoa hukumu
 
sasa hivi kitanzi tu, nchi ya ahadi hawaendi wauaji
 
Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha mtoto baada ya kuadhibiwa na mwalimu, lakini naamini kwa mwalimu yeyote aliyesikia Hukumu hii lazima ametafakari kwa undani juu ya hatima yake katika kazi yake. Binafsi napenda kuwashauri WALIMU ACHANA na watoto wa watu, nashauri mwalimu abakize kazi moja tu ya KUFUNDISHA NA KUELEKEZA. Nahisi wakati umefika wa mwalimu kuachana na kutoa adhabu kwa watoto hasa adhabu zinazo gusa mwili moja kwa moja, hakuna anayependa mtoto alelewe hovyo lakini kwakuwa Nafsi ya MTU ni TAMU ni vyema kabisa mwalimu apoteze kazi siku ukibainika umeshindwa kuwalea vizuri wanafunzi kuliko kupoteza UHAI wako Kisa tu ulikuwa unamjenga mtoto wa MTU. Acha wafeli, acha wawe majambazi, acha wawe na nidhamu mbovu, acha wabebe mimba nk lakini msitoe adhabu ambazo zinaweza kupelekea matatizo makubwa kama kuuwaumiza watoto kiasi cha kuleta Ulemavu, Matatizo ya kisaikolojia na pengine kuleta Vifo. Nimeyaandika Haya kwani naamini mwalimu ni mlezi, mlezi hawezi kutoa adhabu akiwa amelenga kumdhuru mtoto, lakini hakuna ajue kilicho mbele yake , unaweza kumgusa mtoto kumbe huo ndo ulikuwa mwisho wake, hatimaye unaishia kwenye mikono ya kitanzi, jera nk. Haya mambo yanaumiza sana, hakuna mzazi anayependa kumpoteza mtoto wake vivyo hivyo hakuna mwalimu anapenda kupoteza maisha yake au kazi yake. Walimu nawaomba na kuwasihi, jitafakari upya na kama itawezekana hata nchi nzima huo uwe mfumo na utaratibu, kama mwanafunzi atakuudhi kupindukia basi omba ruhusa rudi nyumbani kalale. Usiogope, wakifeli hutakosa la kujieleza, wakikufukuza kazi rudi kwenu shika jembe kalime maisha si lazima upate msahara wengi hatuna mishahara na tunaishi. Poleni walimu, poleni wazazi, poleni wadau wa elimu na poleni walimu.
Katika adhabu zote nilizowahi kuzisikia hii imeniumiza na sijui kama ntapata usingizi..

Nimetafakari mahusiano ya mwalimu na mwanafunzi wake.! Tangu akiwa anaanza Darasa la kwanza mpaka anamaliza la saba form one mpka form 4. Muda mwingi hawi na mzazi bali mwalimu,
Mwalimu, ni mzazi, mlezi, daktari, rafiki, na nk hivi kweli mwalimu anaweza kuwa na kusudio la kutoa adhabu ili aue ? Kweli?
Wangapi kati yetu tumesha pewa adhabu na walimu au wazazi wetu je lengo lao ilikuwa tufe?
Ni kweli mwalimu alikosea huenda kwa kutoa adhabu iliyo vuka mpaka lakini sidhani kama kusudio ilikuwa kuua.
Mh hakimu angetumia japo hekima ya kumhukumu mwalimu huyu.!
Mbona Lulu alisababisha kifo cha kanumba leo yupo uraiani?
Tatizo ni pesa? Au umaarufu?au sheria. ?
Hili linaumiza na madhara yake ni kuporomosha maadili na morali ya walimu.
Nani atakubali kumuadhibu mwanao kwa utovu wa nidhamu ilhali akijua yanaweza mpata kama ya mwl mwenzie?
Ni jambo jema sabbu wa kwenu wanasoma hizo shule zenu za st. Lakini hawa wetu mmetuharibia kila kitu.

Ahsante mh, jaji na hongera kwa kazi..
Poleni sana walimu wote Tanzania.
Ni wiki mbili au tatu zimepita mwanafunzi kahukumiwa kifungo cha maisha jela leo mwalimu anahukumiwa kifo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we ni mpumbavu kabisa, nadhani hujazaa wewe, huna mtoto wewe unaishi kwa wazazi bado. kwa kosa alilofanya huyo mwl. kwa kumuadhbu vile mtoto bado unasema kapewa adhabu kubwa mno kweli?!! we ni kenge kabisa...watu tunatamani hadi kumkatia rufaa huyo mwl aliyeachiwa huru afu we unaongea mambo ya kipumbavu hapa. kwa fact zilizotolewa mbele ya mahakama ni dhahiri huyo mwl. alikusudia kuua, hiwezi mpiga mtoto kiasi kile. I'm a professional teacher from, adhabu kubwa na ya mwisho kwa mwanagunzi aliyefanya kosa kubwa kabisa hua ni kufukuzwa shule sio kumfanyia unyama kama ule
Una haki ipi ya kumwita mtoa hoja mpumbavu we kenge wewe! Yaani wewe ndo unajiona una haki kuliko wote mpumbavu na taahira wewe.. huko kuzaa unakujua wewe tu? Wengine hawana watoto.? Huo ualimu umesoma wewe tu wengine hawajasoma? Ualimu wako unakutuma kutukana wengine halafu unajiita profesion. Mbuzi wewe..
Huyo ni mwalimu sio muuaji. Angekuwa na dhamira ya kuua si angeua wengi.
Mbona lulu yuko nje yeye hakuua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha mtoto baada ya kuadhibiwa na mwalimu, lakini naamini kwa mwalimu yeyote aliyesikia Hukumu hii lazima ametafakari kwa undani juu ya hatima yake katika kazi yake. Binafsi napenda kuwashauri WALIMU ACHANA na watoto wa watu, nashauri mwalimu abakize kazi moja tu ya KUFUNDISHA NA KUELEKEZA. Nahisi wakati umefika wa mwalimu kuachana na kutoa adhabu kwa watoto hasa adhabu zinazo gusa mwili moja kwa moja, hakuna anayependa mtoto alelewe hovyo lakini kwakuwa Nafsi ya MTU ni TAMU ni vyema kabisa mwalimu apoteze kazi siku ukibainika umeshindwa kuwalea vizuri wanafunzi kuliko kupoteza UHAI wako Kisa tu ulikuwa unamjenga mtoto wa MTU. Acha wafeli, acha wawe majambazi, acha wawe na nidhamu mbovu, acha wabebe mimba nk lakini msitoe adhabu ambazo zinaweza kupelekea matatizo makubwa kama kuuwaumiza watoto kiasi cha kuleta Ulemavu, Matatizo ya kisaikolojia na pengine kuleta Vifo. Nimeyaandika Haya kwani naamini mwalimu ni mlezi, mlezi hawezi kutoa adhabu akiwa amelenga kumdhuru mtoto, lakini hakuna ajue kilicho mbele yake , unaweza kumgusa mtoto kumbe huo ndo ulikuwa mwisho wake, hatimaye unaishia kwenye mikono ya kitanzi, jera nk. Haya mambo yanaumiza sana, hakuna mzazi anayependa kumpoteza mtoto wake vivyo hivyo hakuna mwalimu anapenda kupoteza maisha yake au kazi yake. Walimu nawaomba na kuwasihi, jitafakari upya na kama itawezekana hata nchi nzima huo uwe mfumo na utaratibu, kama mwanafunzi atakuudhi kupindukia basi omba ruhusa rudi nyumbani kalale. Usiogope, wakifeli hutakosa la kujieleza, wakikufukuza kazi rudi kwenu shika jembe kalime maisha si lazima upate msahara wengi hatuna mishahara na tunaishi. Poleni walimu, poleni wazazi, poleni wadau wa elimu na poleni walimu.
Asante sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una haki ipi ya kumwita mtoa hoja mpumbavu we kenge wewe! Yaani wewe ndo unajiona una haki kuliko wote mpumbavu na taahira wewe.. huko kuzaa unakujua wewe tu? Wengine hawana watoto.? Huo ualimu umesoma wewe tu wengine hawajasoma? Ualimu wako unakutuma kutukana wengine halafu unajiita profesion. Mbuzi wewe..
Huyo ni mwalimu sio muuaji. Angekuwa na dhamira ya kuua si angeua wengi.
Mbona lulu yuko nje yeye hakuua?

Sent using Jamii Forums mobile app
hata wewe ni kama mtoa hoja tu, wote hamjielewi
 
Fundisho kwa wengine, mna torture watoto wakitoka hapo hawajui UPENDO,CONFIDENCE NA JINSI YA KUISHI NA WENGINE kisa nyie na adhabu zenu physical and psychological..kwa kweli Kama wewe ni Mwalimu una tabia ya kuumiza watoto wa wengine JIREKEBISHE, shuleni sio sehemu ya kuumiza watoto wa wenzio
Hata wewe nyumbu unaongea! Ila sishangai kwa sababu mwalimu anapewa maagizo na wizara zote nchini. Mwalimu anatumwa hadi na mkulima asiyejua kusoma wala kuandika. Amekuwa mkulima, daktari, polisi, hakimu, afisa kilimo na mifugo, afisa afya n.k. Akifanikisha hapongezwi, ila akikosea tu hadi mende wanainuka kukosoa. Loooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa ni ****

Back
Top Bottom