TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 929
- 1,277
Wakuu habari za muda,
Kuna project inatakiwa kufanyika ambayo inaweza kutufanya tukaishi mjini na kuajiri vijana. Kwa Walimu ambao hawana kazi na ambao wamesomea masomo yafuatayo:
Physics
Biology
Chemistry
Mathematics
Geography
English
Lengo kuanzisha project kwa makubaliano maalumu, kwa maelezo zaidi in PM tuyajenge maana hauwezi kuandika project nzima hapa
NB: Itapendeza kama walimu hao watakuwa wanishi Dar, kwa maana project itachukua wiki kadhaa, baada ya project faida yake unaweza kujiliwa pia