Kwa WALIMU hili wazo mnalionaje wakuu

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
Mwanajeshi akifa husindikizwa kwa mizinga au bunduki, Mashekhe husindikizwa kwa Dua nzito, Je kuna ubaya gani mwalimu akasindikizwa kwa viboko? JEE WAZO HILI UNALIONAJE? tunaamuaje hapa wakuu?
 
Huyo mwanajeshi anaesindikizwa na bunduki anapigwa na hiyo bunduki? Kwanza tuanzie hapo, nachojua ni kwamba bunduki zinapigwa juu,kama Mwalimu nae fimbo zitapigwa mahari mnapopajua nyie sawa
 
Huyo mwanajeshi anaesindikizwa na bunduki anapigwa na hiyo bunduki? Kwanza tuanzie hapo, nachojua ni kwamba bunduki zinapigwa juu,kama Mwalimu nae fimbo zitapigwa mahari mnapopajua nyie sawa

Na masheikh je?
 
Back
Top Bottom