hamix manko
Member
- Aug 1, 2016
- 92
- 29
Heshima kwenu!!
Naomba kama wewe ni mmoja kati ya waliochaguliwa Chuo cha COTC mtwara kozi yeyote ile tafadhari ni inbox namba yako tuweze kupeana details! Na pia kama kuna mtu anakifahamu aweze tujuza kidogo!!