Kwa wale wote maspea tairi


teh,wanipa raha this evening lara 1,waambie bora ata spea tyre anaejitambua kuliko kwenda tu usipopajua for the sake of a relationship,better half a vision than being completely blind that is bullshit.com
 
Katika gari langu sasa ni mwaka mzima sijawahi kufunga spea tairi!
brenda18 ...kama wewe mwenyewe ulivyosema...mawazo mgando...kweli ni mgando na unastahili zawadi ya "best mbulula of the year"!

Basi we inaonesha unaendesha bedford ya 1934! Manake hio nuksi! Makalio magumu kama tofali!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Katika gari langu sasa ni mwaka mzima sijawahi kufunga spea tairi!
brenda18 ...kama wewe mwenyewe ulivyosema...mawazo mgando...kweli ni mgando na unastahili zawadi ya "best mbulula of the year"!
kumbe ulikuwa md4 mwaka uoo,ndo maana uko....nitolee nuksi umekuwa BET wew unatoa awards?ovyoooo rudisha kombe lako uko,teh
 
Dah basi mim nilifundishwa tofauti kuwa neno malaya si neno zuri kwa mwanamke.....so nijitahidi hilo neno lisitumike kwangu......

Ingawa mwingine anaweza kukuita hvyo....lakini kusiwe na ukweli ndani yake......

ukihangaika na walimwengu kujali watakuonaje utapoteza nguvu na muda wako,wanaoamin kuwa wew sio malaya watakuepo na wasioamini watakuepo,somtimes we need to live like we dont care life is too short kubadilisha mawazo ya watu kuhusu wew,so if am hore ts owkei and if am not a hore its owkei am still mee
 
kumbe ulikuwa md4 mwaka uoo,ndo maana uko....nitolee nuksi umekuwa BET wew unatoa awards?ovyoooo rudisha kombe lako uko,teh

Dada huyo mbulula asikuzengue! Mi nakushauri tu bora usubiri gari lako mwenyewe ukifunga tairi basi unafunga jumla!
Haya mambo ya kuwa spea tairi hayafai!
Manake mnaweza kuwa ma spea tairi kibao! Matokeo yake ukaondoka na maradhi ya kuuwa mtu!
Subira siku zote inavuta heri!
 
Vipi bibie, nini kilichokusibu ati? Je, ni lile penzi jipya la Diamond na Wema au? Spare tairi ni spare tairi tu kwani hata likifungwa kwenye gari ni kwa muda tu siyo la kudumu, au ulikuwa hujuwi hivyo?

teh bana wee kuna miujiza,'jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la....."anaejua bible akumalizie apo ndo uelewe kilichonisibu
 
kuna matairi mengine GENERAL TYRE ile ya enzi zile assee!
ehhehhehhehe utabaki kubadilishiwa cover tu leo CRDB ,kesho oryx gas keshokutwa nakiete pharmacy!

Hahahahahaaaaaa
 

Ni kweli...la muhimu kutompa nafasi mwalimwengu.....na ikitokea basi iwe imetokea bahati mbaya...na lisiwe la ukweli.....
 
teh bana wee kuna miujiza,'jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la....."anaejua bible akumalizie apo ndo uelewe kilichonisibu

Naupendaga huu wimbo......ni jiwe imara limekuwa jiwe kuu la pembeni.....
 
Wanakazania neno Kuwa mwaminifu tu;waaminifu Wa mapenzi wanahesabika name kwa mawazo yangu nice kama hawapo.big up mtoa mass umenena kweli.
 
Ni kweli...la muhimu kutompa
nafasi mwalimwengu.....na ikitokea basi iwe imetokea bahati mbaya...na
lisiwe la ukweli.....

sawa dada nimekuelewa apo
 

asante kahtan nimekuelewa and point taken
 
ayo maneno tu ata kwenye khanga yapo.wew nani kujua litatumika kwa mda,kwani io spare tyre ina tofauti gani na tyre linalotumika ebu sema apa
ha ha ha..., okey dadaa, we utakuwa umezoa spea taili za vogue na kilimo kwanza! zile zinafanana,mie nasemea spea taili ya ka vitz kangu! ni chembamba kama taili la ndege. ukiliweka tu lazima uone tofauti
 

Hapo umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…