Kwa wale wote maspea tairi

Ni kweli kuna spare tyre waliofanikiwa kupindua serikali but pia kuna spare tyre wengi pia ambao wameishia kwenye majuto makubwa baada ya kupoteza muda mwingi na watu walikuwa interested na papuchi zao tu...
Anyway ukiamua kuwa spare tyre fanya kwa malengo na ujue kufanya mapinduzi ni kubahatisha ili usipofanikiwA usinywe sumu ya panya.
 
No guy is single,you either snatch him from someone or share with someone,the most important thing is to be the highest Shareholder....so usiridhike kua spare tyre kwa karne nzma ukiona hauwi shareholder na hakuna hata posibility ya kufikiliwa ni bora utafute sehemu utakua shareholder si kung'ang'ania watu kama ruba,unateswa na kudharauliwa nawe bado upo tu eti unapenda umeridhika kua spare tyre
 

apo umenena...mia
 
Kuna mtu nilikuta ame comment mahali kuhusu spare tyre ya VX....anasema mshike mshike inayoupata ni nouma maana inafungwa chini ya gari...full matope.teh teh teh...

Na nijuhavyo spare inatumika wakati wa dharula tu; ukiziba pancha unarudisha tairi husika na spare inawekwa mahali pake...


Spare tyre ni spare tyre tuuuuu hata lipakwe rangi na cream kila siku
 

i gat your vibe..noted
 
kwa nini uendelee kuwa mchezaji wa akiba, ina maana dakika 90 zikiisha bila kiungo yeyote kutoka njee...unarud home kimya kimyaaaaa

La kufanya ni kumuengua mpinzani wako kwa kuwa na mautunduuuuuuuu....ikishindikana toka ndukiiii katafute mnyonge wako nawe uwe namba moja
 
Kwa kupunguza hasira na manyanyaso ya Waume zetu lazima na wewe udandie mahali kwani hakuna mwanamume asiyekuwa na spea au kuonja nje tangu abalehe au kuwa na meno 32.
Humkomoa mwenzako ila RAHA KUMJUA UNAYEMUIBIA ili ujue ufundi wako na wewe umo kwenye Daraja la kwanza au ligi Kuu?
 
kuna matairi mengine GENERAL TYRE ile ya enzi zile assee!
ehhehhehhehe utabaki kubadilishiwa cover tu leo CRDB ,kesho oryx gas keshokutwa nakiete pharmacy!

hahah..ua funny but nimekupata
 

hahah..mie hoi...ligi kuu ndo mpango mzima
 

nakomaa na jiji..mpaka kieleweke nduki atazitoa mpinzani
 

I beg to disagree with you hun...! With real examples...but do I say, u live in a very different world my dear!!!
 

Mi naonaja huo ni umalaya
 


Napenda watu wenye mawazo huru
Kuuona mwanga katika hali halisi
Kujua kulia na kushoto
Na kisha kuamua njia ya kufuata
Nenda mama nenda brenda18
Maisha ni kujaribu na kujaribu nikutenda
Maisha ni mafupi
Jipe raha mwenyewe.
Kwa Bazazi kuna nafasi kibao za reserve
Karibu

Bazazi
​
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…