Kwa wale wote maspea tairi

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,301
Habari zenu wajameni,
Nilikuwa nafikiria tu,mtu yoyote akikwambia nipo kwenye relationship labda kama utakuwa tayari uwe spea taili.

Ushauri wangu,we kubali tu maana ipo siku utakuwa no.1 kwan ata spea tairi ipo siku litafungwa kwenye gari na litafanya kazi.

Mnaonaja ili lina ukweli ama mawazo mgando?
 
brenda18 - Si lazima uchokonolewa hicho kidudu chako, waweza kuishi bila uchokonozi...!

 
Last edited by a moderator:
ni kujutafutia majanga tu...mawazo mgando!
 
jitahidi kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako eboo !
 


Spare tyre ni spare tyre tuuuuu hata lipakwe rangi na cream kila siku
 
SELF DENIAL IS A DANGEROUS STATE OF MIND!!!!!!!!!

Kibongo bongo HAKUNA MWANAUME SINGLE esp juu ya 25yrs!!!!!!! So relations nying zinazohusisha wanaume 25yrs and above ni za SUBSTITUTION (Wamtoa mwenzio wa kaa weye) au ndo kama hivi SPARE TYRE (Wazengea kama fisi mwenzio aachwe uingie weye)

So hakuna la ajabu ulilolisema NDOTUISHIVO MUJINI!!!!!!

TANGU LINI MWANAUME WA MAANA AKAWA HANA MTU!!!!!!!!! THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!! NI KUBANANA HAPO HAPO AMA NDO UJIPOZE NA MAPOYOYO! Sie wazee wa NOTHING BUT THE BEST,si tu spare tyre unakuwa hata TOOL BOX ikibidi!
 

Mmmhh! Haya bhana
 
Ndio maana wanakuzodoa, umezidi maukweli yako

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…