KWA WALE WENYE WAPSITE Tu

Lofefm

Senior Member
May 22, 2011
126
72
Naombeni msaada jinsi ya kuweka mistari kwenye menu list yangu. Mfano tembelea wabongoo.tk jamaa panga page links zake kwa mistari fulan nimehangaika nimeshindwa . Naomba mawazo kwa wewe great thinker unayesoma hapa sasa
 
lofefm mi ntakupa css collection zangu ni add facebook hemedans nassor ni kazi rahisi but inahitaji muda kukuelewesha manake zile zinakua ni class kwenye css alotumia wapmaster ni add hemedans nassor facebook wapsite yangu XtGem.com the best one in tz
 
Naombeni msaada jinsi ya kuweka mistari kwenye menu list yangu. Mfano tembelea wabongoo.tk jamaa panga page links zake kwa mistari fulan nimehangaika nimeshindwa . Naomba mawazo kwa wewe great thinker unayesoma hapa sasa
Fafanua mistari unayoitaka kuweka.
 
paster wakumbuka zile wapsite ulizosema kama za mtu mmoja? Ataka mistari kama ile. Na wewe paster wapsite yako ni ipi
 
KITABU KIPO lakini ni poa kama umehitimu HTML coz nimuendelezo wa hiyo kitu ...vitabu vipo vingi lakini hiki kinaelezea kwa undani zaidi just ni PM utakipata via mail

thanks in advance
 
Back
Top Bottom