Ok gud luck mkuu upande wangu sikua interstedgames zaid ya 10 za free kwa ps plus all time pia za free kwa mwezi husika
yeah unajua hizi account ni zakipirate pia zinapesa so unaweza fanya subscription ya ps plus kwa mweziOk gud luck mkuu upande wangu sikua intersted
Ila ungejaribu ku mantion atlist 5 games kati ya hizo 10 maybe ingekaa poa zaid
Kuhusu ps plus 14 days (hope ni zile trials days) ni kidogo sana.
Ushauri kama una acount yenye games nunua subsciption ya mwezi mmoja au mitatu usiradeem code zake mpaka utakapopata mteja.
Kwenye price utaplus hio subscripition acording on how much u gain
Nb
Code za subscription hua zina dedline
zote hizo ni full games mkuu
zote hizo ni full games mkuu
Acount za kipirate?? Maybe am wrong on what i knowyeah unajua hizi account ni zakipirate pia zinapesa so unaweza fanya subscription ya ps plus kwa mwezi
hii acoount haina pesa nyingi za kuknunua games kama gta 5 but faida kubwa ya account hii ni tayari member wa ps plus so utaweza kudownload games za ps plus freeAcount za kipirate?? Maybe am wrong on what i know
Hio acount ya kipirate imekaaje?
Kama acount ina pesa kwanini usipurchase games then ukazipromote hizo acount kwa brand names games kama fifa 17, GTA 5, watch dogs 2 nk?
ok i got you
Yeah mzee baba wengine machizi magem
Mkuu nahitaji hii accounthii acoount haina pesa nyingi za kuknunua games kama gta 5 but faida kubwa ya account hii ni tayari member wa ps plus so utaweza kudownload games za ps plus free
games kama just cause 3 , assassins creed freedo cry
Em tutaftane bossgames zaid ya 10 za free kwa ps plus all time pia za free kwa mwezi husika
JAMAN NNA ACCOUNT YA PSN PLUS INA GAMES 30 ZISHANUNULIWA NICHEKI PM TUDISCUSS NAUZA...REASON GAME IMEPATA LIGHT BLUE OF DEATH SIJAPLAN NUNUA MPYA
Kariakoo zipo. Au haupo dar.Wakuu mm mgeni ktk ps4 ndio nimepata deki tupu nipendi msaada pa kupata cds na pads controller.
Mi natumia ppsspp kwenye ka cm kangu ila ni radha ka ya playstation tu