Kwa wale wenye "MIPANGO YA KANDO" Special message!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Haina ubishi katika hili , tunao members wengi wanaojihusisha na "mpango wa kando"

Btw niliyowalenga hapa ni wale wenye style, ya kuipumzisha mipango hiyo kuupisha huu mwezi wa mfungo, na mara uishapo libeneke huanza tena.

Ujumbe wangu maalumu kwao safari hii waweke aim ya kutokuhuisha tena mistake hii.
Take actions to stop your extramarital affair, stay with your marriage then choose to work on it too.

Isijalishe how attached you ! Are to your significant other!
Jiambie/jisemee binafsi yako kwamba IT'S UP TO ME TO STOP IT.
 
Nikianza namie binafsi always hua sina issue za ku'step aside out of my marriage.
 
Kuaacha mpango wa kando kupisha Ramadhan???

Mimi nilidhani mpango wa kando unahusika hasa kwa wale dini inalazimisha ku-husband mwanamke mmoja tu!!!

Kama dini inakupa rukhsa ya kufanya hadi substitution tatu (i.e ku-husband hadi wanawake 4) mpango wa kando wa nini sasa??
 
Kuaacha mpango wa kando kupisha Ramadhan???

Mimi nilidhani mpango wa kando unahusika hasa kwa wale dini inalazimisha ku-husband mwanamke mmoja tu!!!

Kama dini inakupa rukhsa ya kufanya hadi sustitution tatu (i.e ku-husband hadi wanawake 4) mpango wa kando wa nini sasa??

Yaani unamsemea mtu kama Aspirini eti eeh ?
Realman , hivi binadamu unawajua vizuri? Kuna ambao hata ungempa option ya ku own 5 wifes still yet ata'step aside!
 
Yaani unamsemea mtu kama Aspirini eti eeh ?
Realman , hivi binadamu unawajua vizuri? Kuna ambao hata ungempa option ya ku own 5 wifes still yet ata'step aside!

Hahahahaa. Judgement hao watano lazima apate msaada wa mkuyati vinginevyo mlima bustani anakusaidia
 
Back
Top Bottom