tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,638
mkuu yaelekea we mafia sana...vipi nawe ni mwanakitengo nini?mademu wanaokataa nyakati za mwisho mwisho namna hiyo wanakuwa wamepewa ofa ya kuolewa na jamaa mwingine so mpaka inapofikia siku ya harusi Ndo unakuta bibi harusi anakatiwa mkwanja wa kutosha tu ili akanushe harusi, na maranyingi hao wanaowarubuni wanakuwa wanahudhuria harusi pia,
Ndomana unakuta siku ya harusi bibi harusi anatoroshwa, au anapotea na haonekani. So hivi vitu vipo na nilishawahi kuhusika kwenye action(ninaushahidi)