Kwa wale watumiao atm jihadharini angaliahii video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale watumiao atm jihadharini angaliahii video

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR]
  [TD="colspan: 3"]VIDEO - ATM inapotoa Nyoka Badala ya Pesa[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD][​IMG]
  Nyoka kwenye ATM[/TD]
  [TD]Saturday, November 05, 2011 9:59 AM
  Hivi inakuwaje pale unapokwenda kwenye ATM kutoa pesa toka kwenye akaunti yako na badala ya pesa kutoka anachomoza nyoka anayejaribu kukuua kwa sumu yake kali?, hiyo imetokea kweli nchini Hispania.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanaume mmoja wa nchini Hispania alinusurika maisha yake baada ya kunusurika kugongwa na nyoka wakati akitoa pesa toka kwenye ATM.

  Mwanaume huyo alienda kwenye mashine ya kutoa pesa ATM iliyopo nje ya benki ya Caja Madrid bank katika mji wa Llodio, kaskazini mwa Hispania.

  Katika hali ambayo hakuitegemea, zilichomoza pesa sambamba na nyoka ambaye alijaribu kumgonga kwenye mikono yake. Pamoja na hayo jamaa hakuziacha pesa zake zikining'inia kwenye ATM, alizichukua pesa zake kabla kuwapigia simu polisi kuwajulisha juu ya tukio hilo.

  Kwa msaada wa meneja wa benki, polisi walifanikiwa kumtoa nyoka huyo na kumweka kwenye boksi ili waweze kumrudisha porini.

  Inavyoonekana ni kwamba nyoka huyo huenda aliingia mwenyewe ndani ya ATM kwakuwa ATM hiyo ipo karibu na kichaka.

  Angalia VIDEO ya nyoka huyo kwenye ATM wakati polisi akijaribu kumtoa kwa kutumia fimbo.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]
  <iframe style="width: 420px" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/ElJQJZtY8WI?rel=0" frameborder="0" allowfullscreen=""></iframe>[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Majamaa yana huruma sana!Yaani hayakumuua!Ingekuwa kwetu staff wa benki wangeshikana uchawi.
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh!! huyo Nyoka sijui aliingiaje humo. Kama ni mimi ningemwachia hizo hela....
   
 4. d

  dr chris Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenzetu wanaheshimu sana sheria za nch zao ndio maana walimuachia uhai kwani ni mali asili ya nchi.
   
Loading...