Kwa wale wataalamu wa hesabu. Karibuni

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
21,066
23,980
Kama mnavyoona apo.
IMG-20180511-WA0002.jpg
 
Mathematically Hamna jibu!
kwa sababu kama physics ilivyo na principles zake basi nayo math ina principles zake, nakumbuka siku ya kwanza kabisa form one techer wa math alianza kutufundisha mambo ya even & odd number . Even ni namba zinazogawanyika kwa mbili bila baki, Odd ni namba zinazo gawanyika kwa mbili alafu inabaki sehemu "common ni 1/2" au inabaki moja kwa lugha nyepesi...
Hapo juu umetupa odd number from 1,3,5,7,9,11,13 to 15 hizi zote ni odd number. Principlers za odd na even zipo hivi
odd+odd=Even
odd+even=Odd
odd x even=Even
even/even*even=odd
hapo kwenye swali umetupa tuchague odd 3 ambazo uki add ziwe (30) ambayo ni Even ambapo mathematically hicho kitu akipo
odd+odd+odd=
(odd+odd)+odd=
even+odd= Odd
lakini kwenye swali jibu ni 30 ambalo ni even
kwa hivyo hilo swali lako HALIWEZI KUWA NA JIBU LA 30 jibu pekee ni odd number? Labda 29 na 31 etc.
Lkn kwenye kila kitu kuna alternative solution
Solution:
kwenye math ukiona coma "," ujue maanisha decimal "." na ukiona "." inamaanisha zidisha
tunachukua 11,3 = 11.3
tunachukua 15,7= 15.7
alafu tunachukua 3
Hence proved
11.3 + 15.7 + 3 = 30
 
Umetisha mkuu.
 
Umetisha mkuu.
Wajuvi wote wa hisabati walikuwa wanakaa viti vya mbele darasani na walijua majibu ya kila fumbo kwenye hisabati ila in real sense watu wote ambao hisabati zilikuwa zinawapiga chenga walikuwa ni back bencher ila leo hii wao ndo wanajua namna ya kuapproach na kusolve kila tatizo la kimaisha ilihali wale makenge wa hisabati wakipauka kwa vumbi la chaki kwenye shule zinazomilikiwa na watu wasiojua hisabati.Hence Proven
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tuacheni kama tulivyo.
 
Hahaha back benchers wengi tulikuwa atupendi hesabu kinoma..wale wakaa mbele wengi huishiaga kuwa waalimu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom