Kwa wale wataalam wa laptop

Kwa wale wataalam wa laptop

Mosiwakaya

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
185
Reaction score
35
Kuna laptop nimeichukua kwa jamaa nikianza kuichaji inaniandikia battery recalibratin halafu ikiendelea inaniandikia chajing betry to ful baada ya dk 10 inajaa halafu ina andika dischajing betry to empty inaanza kushuka mpaka zero..sielewi shida ni nini msaada tafadhali.
 
Sasa kila kiko wazi hapo hiyo betry kimeo jipange chukua mpya tena compatible na hiyo pc
 
Back
Top Bottom