:majani7::majani7::majani7:[/QUOTE BAK huu wimbo ni kwa ajili ya mateja wote tuwapelekee mateja waongeze dozi au?
ila mi unaniudhi ka hii minyimbo mweh!
sijui hili file litaisha leo au sijui ntamalizia kesho sina hakika sana hebu chek na mimi jumatatu asubuhi ntakupa jibu!
wewe ndo utagonganishwa?Nimetia breki bana...naogopa kugonganisha magari....
ahahaaa mimi dada leo nimetoka kapa mita bado inasoma ziirobabu naona wewe kwako inaeleweka mie kwangu majanga matupu ila Mungu yupo manake ukiona unapigwa upepo sana ujue una nguvu za kustahimili.
dah! dogo sasa nikiachna nae vipi?? mm hapa hata lije greda sing'oki labda mauti tu.
eheheeee vigrandpa vina mvuto hivo?????????/ visweet sana kwa valentine.tujipange
Vinajua kulea wala sio too demanding... Na vina care sana kwa sababu ya inferiority complex..Hawa masharobaro ni stress tu na jakamoyo..eheheeee vigrandpa vina mvuto hivo?????????/ visweet sana kwa valentine.tujipange
ukiachana kwa siku ya leo baada ya valentine..dada utamwachaje shemeji!!si utanisumbua nikutunze kaka ako..ahahaaaaaababu naona wewe kwako inaeleweka mie kwangu majanga matupu ila Mungu yupo manake ukiona unapigwa upepo sana ujue una nguvu za kustahimili.
dah! dogo sasa nikiachna nae vipi?? mm hapa hata lije greda sing'oki labda mauti tu.
viache vyoote...toka na mimi ili uclete ugomvi
visharo vitamu ila ptuuuuuuuu vinapiga mizinga ,vinadeka ka demu.. Yaani leo utachunwa hadi hela ya babakovinajua kulea wala sio too demanding... Na vina care sana kwa sababu ya inferiority complex..hawa masharobaro ni stress tu na jakamoyo..
eheheeee vigrandpa vina mvuto hivo?????????/ visweet sana kwa valentine.tujipange
Vinajua kulea wala sio too demanding... Na vina care sana kwa sababu ya inferiority complex..Hawa masharobaro ni stress tu na jakamoyo..
hapo nimekuelewa mdogo wangu, usjali mie mahari uliyokula itanizika kakaukiachana kwa siku ya leo baada ya valentine..dada utamwachaje shemeji!!si utanisumbua nikutunze kaka ako..ahahaaaaaa
visharo vitamu ila ptuuuuuuuu vinapiga mizinga ,vinadeka ka demu.. Yaani leo utachunwa hadi hela ya babako
Babu Dc, Kwa kweli umenikuna sanaaaaaaaaaaaaaa! na umenikumbusha mbali kiasi machozi ya furaha yamenitoka nikikumbuka kitu siwezi kukisema , Duh! Asante sana kwa kunikumbusha kupitia huo mwimbo wa Shania Twain.
Hahahahaaa.Ukiona hivo ujue paaah!!.Nyie wadada, vidole na macho
Tusije shikana ubaya bure
Be warned!
huyo mbabu hata wewe unamjua tena yupo tanga kwa bibi
hahahaa. Kama ni Asprin mie hata bure simtaki ila Babu Dark city hapa huyu ni kama gesi ya Mtwara alivo na thamani. lakn hata hivyo sio yeye..MY SECRET ADMIRER anajijua!!Jamani, hawa wazee hawa kaa nao mbali, naona kidole chako kinataka kunichoma jicho
Mie kuna mmoja wao namuadimaya kikweli kweli, ila namuonea aibu kufunguka :majani7::becky::majani7:
babu naona wewe kwako inaeleweka mie kwangu majanga matupu ila Mungu yupo manake ukiona unapigwa upepo sana ujue una nguvu za kustahimili.
dah! dogo sasa nikiachna nae vipi?? mm hapa hata lije greda sing'oki labda mauti tu.
ahahahahhahahhahhahhaahahaah huu wimbo bana!
mh!NGOJA NINYAMAZE!
ila BAK na wewe mambo gani sasa haya!
wenzio tupo kazini sa hz!
ah!