Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Nahisi wote ni wazima, kama wewe ni mgonjwa pole sana, Mungu akuguse jioni hii upate wepesi.
Nachukua nafasi hii kutoa wito kwa wale woote wasio na wapenzi a.k.a SINGLES kutumia ukurasa huu kutuma maombi kwa mwana MMU yeyote ambae ungependa uanze na kumaliza valentine nae iwe kwa PM, hapa hapa kwenye post au vyovyote itavyowezekana. Tufanye hivi ili kupunguza idadi ya watakaokuwa wapweke kwa kipindi hiki muhimu. Mimi naanza kutuma kwa Asprin, najua ni mzee sana, tena mume wa mtu lakini kesho naomba amkimbie bibi kwa siku nzima ili anifariji.......
Wapweke wooote Naomba mtiririke sasa kuomba company kabla hujawahiwa

Last edited by a moderator: