Kwa wale wapenzi/wafuasi wa Manara. Maamuzi ni haya kuanzia sasa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,362
11,519
Mumfuate anakoenda. Simba ni kubwa sana. Manara alikuwa mtu mdogo aliyekuzwa na Simba na baadaye akadhani yeye ni Simba pia.

Mimi sikuwa napenda aina ya usemaji wake muda mrefu sana. Nlikuwa natamani aondolewe. Hatutaki wasemaji wa hovyo hovyo kwa simba ya sasa.
 
ulikuwa wapi siku zote?
 

Simba siyo Mo.

Manara hajaikosea Simba, Manara ni mwanachama amezozana na mwanahisa tu.

Njaa na unyonge wa fedha inawatafuna wafuasi wote wa Mo
 
Au ndo sharti ya kupewa ubunge uko ccm nn mana jamaa kada sana huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…