Kwa Nilichoona, Kuruhusu Uhuni wa Manara Kwenye Soka ni Ujinga

MtuHabari

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
321
1,019
Najua kuna watu watapinga kutokana na unazi lakini ndio ukweli kwamba Soccer ndio mchezo unaopendwa sana hapa TZ na duniani pote hivyo lazima uheshimike na sheria zake zilindwe.
Niliyoona toka majuzi week ya Yanga na sasa Simba ni mambo ya kupendeza sana.
Club zimetoa misaada kwa makundi yenye uhitaji mkubwa, wanachama na wapenzi wamechangia damu kwa kiwango cha juu sana na leo Mwanza nimeshuhudia wapenzi wa Simba wakifanya usafi katika maeneo mbalimbali ya Makaburi hadi nimeshangaa.
Sasa kwa vile mpira ili uende kwa utaratibu kuna sheria za kudhibiti uendeshaji na kupinga UHUNI.
Kitendo alichofanya Manara na kikaruhusiwa na uongozi wa Yanga ni cha kihuni na kinadhihaki kabisa heshima ya Soccer la nchi hii.
TFF na Kamati ya maadili wanapaswa kuacha unazi wa Simba na Yanga ni kuchukua hatua sahihi kwa wakosaji wote ili kuokoa huu mchezo ambao sasa unatoa AJIRA kwa wengi na kuchangia makusanyo ya kodi kwa taifa.
 
Kayika mpira sasa hivi kuna uwekezaji mkubwa sana. Kama tutakubali watu individuals waingize tabia kama za Manara za kudharau sheria kisa wametengeneza majina na matajiri wezi wanawadhamini basi tunaua hiki kitu
 
Back
Top Bottom