Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

lile la koka la clouds huwa linaniboa, waambieni walibadilishe too much is harmfull.
Lile la "zimepungua" au kuna lingine jipya.

Fanta sparleta cocacola...

Jamaa:bwana eeeh zimepungua.

demu: zimepungua nini sasa mbona zipo kawaida
Jamaa: namaanisha zimepungua bei

lately hayana ubunifu mwingi.
 
PINDUA PINDUA baba lao

matangazo yote ya "zama zimebadilika"
Yule mzee mbishi saana .

Eti Dr mimi naijua malaria yangu.
Hadi dr akashangaa malaria yako??? Hahaha

Jamaa anasema inanzia tumboni
 
Yule mzee mbishi saana .

Eti Dr mimi naijua malaria yangu.
Hadi dr akashangaa malaria yako??? Hahaha

Jamaa anasema inanzia tumboni
anakuambia Dr nipe panadol kwa dharura......mwishoni anakubali kishingo upande
 
Kwakweli matangazo ambayo huwa nayapenda ni yale ya kombe la dunia tu.

Sikumbuki vizuri ni ya mwaka gani kulikuwa na tangazo nilikuwa nalipenda kweli ilikuwa mume karudi nyumbani alafu mke akamficha mchepuko kabatini, goli lilivyofungwa mchepuko akatoka akaanza kushangilia na wakakumbatiana na mume, nk nk.
 
Cezea balimi za ofa!! Nimempiga ofa ya kufa mtu leo.
Tatizo wewe hausikilizi wala kuangalia tv... kuna tangazo lile la [dawa ya penzi]dume kondomu la musa na babu wa mpenzi wake.

Babu anamuuliza lakini mjukuu wangu huwa mnatumia dawa ya penzi?

Sis jitahidi utumie dawa ya penzi.
 
Kwakweli matangazo ambayo huwa nayapenda ni yale ya kombe la dunia tu.

Sikumbuki vizuri ni ya mwaka gani kulikuwa na tangazo nilikuwa nalipenda kweli ilikuwa mume karudi nyumbani alafu mke akamficha mchepuko kabatini, goli lilivyofungwa mchepuko akatoka akaanza kushangilia na wakakumbatiana na mume, nk nk.

la Nitigopesa haulipendi?
 
Tatizo wewe hausikilizi wala kuangalia tv... kuna tangazo lile la [dawa ya penzi]dume kondomu la musa na babu wa mpenzi wake.

Babu anamuuliza lakini mjukuu wangu huwa mnatumia dawa ya penzi?

Sis jitahidi utumie dawa ya penzi.
Sipendagi matangazo hivyo yyakianza nabadili chanel. Kipindi cha kombe la dunia pekee ndio huwa nayaangalia.
 
Kuna lile la coca msela anapakua msosi hamadi mteja anatokea..................!
Silijui comrade lisimulie...

Kuna lile la cocacola jamaa anapewa soda na muuzaji wa kike anamlazimisha ainywee hapo hapo...

Basi anatamani kinoma.

Cocacola taste the feeling. Onja msisimko
 
Back
Top Bottom