Wasalam kama kichwa kinavyojieleza kwa wale ndugu zangu ambao sio wapenzi wa perfumes na body sprays tuambiane Marashi mazuri yakunukia binafsi kuna marashi yanapendeza kwa wadada wa ki Islam sijayajua tujuzane wajameni
Napenda udi ila naogopeshwa kuambiwa kuwa eti zinaleta majini, mi huwa napenda tu kuchoma chumbani panukie, sasa nikiskia hizo habari nyingine stimu zinakata

Wala kama zinaleta majini basi me ningekua sjui ninao wangapi
Udi ni mzuri sana kama unavyofanya sasa me hua nauchoma halaf nalimwagia maji pazia nalilowesha kiasi yan nachota maji na mkono akung'utia kwenye mapazia ule moshi unaenda kutua kwenye hayo matone