kwa wale wana'Udom' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wale wana'Udom'

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Xpéndablè, Sep 23, 2012.

 1. X

  Xpéndablè Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu bhanah.. Ningependa kupata uchangaunuzi kuhusu suala la Medical Capitation fee(100000) ambalo lipo kwenye list ya Direct costs na suala la kujiunga na National Health insurance fund Tsh 50400/year ambayo imetangazwa na chuo cha Udom.. Kwa mimi hiv vitu viwili vinanichanganya xana, Je, kuna umuhimu gan wa kulipa Medcal captation fee endapo kama nitajiunga na NHIF? Msaada plz
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Binafsi sijajiunga na NHIF so nalipa hiyo hela ya medical then mchezo kwisja
   
 3. X

  Xpéndablè Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanx mkuu.. Xaxa mkuu kp bora kulipa Medcal Capitation au kujiunga na NHIF? Je, iwapo nitajiunga na NHIF je watanilazmisha nilipie na hyo Medcal Captation fee?
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo medical capitation ni kwa miaka 3 na NHIF ni 5400 kwa mwezi, kama una Kadi ya NHIF haina shida, kama hauna unataka kujiunga unaona kipi bora??
   
 5. X

  Xpéndablè Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pouwa haina mbaya let me think twice...
   
 6. s

  sasha sarah Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  but nimesikia pipo wanasema zile direct cost zinalipwa zote;;;;;;;;;je kunaukwelii wowote;;thn jamani accomidation kwamtu ambae unamkopo lazima ulipe pia b4 30 septmbr'''
   
 7. X

  Xpéndablè Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nilivyoambiwa zle Direct costs unaweza kulipa kwanza 200000 'ie' pa1 na hyo accomodation humo humo, then na angalau nuxu ada then boom likitoka pesa yako ya accomodation utaifidia humo humo
   
Loading...