Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
Kweli this is all you can do? You are such a pussy..wewe ndo limbunye lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilitaka tu nikutoe katika ' Reli ' na umetoka kweli hivyo Kwangu Mimi naona majaribio yangu ya Makombora dhidi yako yameenda vizuri na yamefanikiwa kwa kiasi Kikubwa. Kama uliachika au Bwana wako ' alikutema ' ni vyema tu ukaa chini ujitafakari na ikibidi uitathmini ' Mbunye ' yako kwani pengine ina ' walakini ' ndiyo maana ' Jamaa ' akakumwaga na sasa ameenda kukutana na ' Mbunye ' zilizotukuka hadi zimemzuzua na Wewe unabaki tu sasa ' Kuzoza / Kulaumu ' humu Mitandaoni.
 
Samahani mkuu uliishia darasa la ngapi vile[emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu uliishia darasa la ngapi vile[emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app

Darasa la Saba ( 7 ) Mkuu. Mbona kila Mtu anajua humu JF Wewe ndiyo umetaka kujua leo? Nina hiyo Elimu Dada ila nakuomba nitafutie PhD holders wako Watatu na Maprofesa wako Wanne halafu niweke nao tujadili mambo mbalimbali ya Kijamii, Kiuchumi, Kisiasa, Michezo na mengineyo ndipo utagundua kuwa kwanini GENTAMYCINE najiamini kwa IQ yangu iliyotukuka na iliyotakata na utanipigia mwenyewe ' Salute ' na kunikubali.

Mbona hata signature yangu tu ya ' Purely Talented and Charismatic Fella ' inaweza kukupa majibu yote unayoyataka kuyajua / kuyafahamu kuhusu Mimi?
 
Sitaki unipigie makelele...cuz hata vithread vyako sivisome naona tu am quoted. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumejua kwamba umefika chuo kikuu, lengo lako lilikuwa hilo tu, sio kwa kiswakinge hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenzake tumeshafika mpaka ' Mbinguni ' na tumerudi tena duniani nini Yeye kufika huko Chuo Kikuu? Huyo Demu ni ' Mbwigira / Mshamba ' sana. Anaacha kutafakari kwanini yamemkuta na ' Kaachika ' Yeye anajifanya kuja humu kufanya Kazi ya ' Ukungwi ' wakati humu JF Watu ' wameshajipindia ' akili zao Kitambo sana na tunaona anatuchosha tu kama siyo kutuboa. Kila Mtu apambane na ' Mbunye ' yake.
 
Goodafternoon...I hope you are all having a splendid weekend.
Straight to the point, this is special for my fellow women and girls.Kuna wadada wanatembea na wanaume za watu but wengine wanatamani kuacha but inakuwa ngumu sana simply because you are in love already and I won't blame you.Ila put yourself in the wife's shoe halaf ujipe majibu.. ( I wont talk much) but pia the worst part inayouma ni kutembea na mume wa mtu and yet you are aware anampenda saaanaa mkewe not to mention kamzalia very beautiful kids and anaipenda sana familia yake na nyege zake zikizidi anatafta kigenerator chake ambacho ndo wewe anamalizia zingne anaweza kumwachia his lovely wife zingne za usiku ..lol..And still bado unangangania in the name of love or perhaps MONEY as usual but still I won't blame you.Na siku nyingne unasikia baridi usiku au una minyege but mwenzio ndo kakumbatiwa... Hapohapo perhaps kwake hupajui na mkewe humjui anafananaje but ukasearch wewe mwenyew unavyojua kwenye social networks unakutana na jamaaa anavyompost mkewe ad harusi aliweka but wewe unampa utamu gizani ila hadharani wanamjua MKE au pengne anakuintroduce to his foolish friends who are just like him and you feel proud cuz you are a side chick but they see you as the side bitch huku wanakuchekea chekeachekea kinafiki.

Sasa basi niko na wale tu ambao they don't want this anymore and are really fighting hard kuachana na hii hali but still go back cuz of their reasons or being in love.Darling you are vulnerable and remember age will not wait for you ooooo...mwingne eti ndoa kakuahid so you are waiting lol...if he is willing to leave his wife for you what do you think he will do to you? So just tune your mind to your success .Usiwe idle not for a second because utakua unamuwaza..keep yourself busy maaa focus on your work kama hauna tafta biashara futa namba zake..And learn how to spoil yourself, take yourself out nenda mall kafanye window shopping mind you kwenye malls hakuna hata bei yale ni majengo tu au you go find yourself siku za discount then treat yourself well.Au jifanye shopping sehem ambayo unaridhika mayo.Eat well, fanya mazoezi, jipeleke sehem nzuri have a different lifestyle jipende dada make yourself look good and beautiful and be proud of your feminism..On week days tafta Ankara( pesa) mama usikubali mwanaume akugalagaze kisa pesa kwanza ukitafta kwa Jasho lako you will feel proud kuzitumia na utazitumia kwa adabu.Remember love will come around when least expected na usiwe kikwazo kwa mwanamke mwenzio kwa kuingilia ndoa yake haikuhusu kama ni ya furaha au karaha.
Nawapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yamekukuta au guilty conscious?
 
Mimi kiukweli kutembea Na mume Wa MTU nilaana kubwa naujue ukiolewa yatakuludi tu Mimi nilishaona kwa Rafiki yangu alikuwa anatembea namume Wa mtu huku wakijiachia Mke akaja kujua namkewe ananjijua akanifwata akanieleza nimkanye Rafiki yangu basi walikuwa wanatukanana kibaya mwanaume alikuwa anampiga mkewe akijua katukanana nauyu dada akajaga siku akamfukuza Na chupi mkewe nabastola a nataka kumuua mwisho wasiku akamchoma mkewe Na bisibisi ya nyuma karibu nautosi akaja nyumbani tukamuaisha hospital roho iliniuma sana siku Mke kalazwa akamuingiza mchepuko mpaka chumbani anapolala Na mkewe halafu mchepuko ndio Rafiki yangu akawa anamtambia nipo kwako chumbani kuna sofa jekundu akataja kila kitu siku zikaenda wakaja kuachana Na Rafiki yangu akapata mume Na kila mwanaume anaempata nifamily friends Na kwetu akaolewa Jamani jamani mume aliemuoa mlevi anarudi mda anaotaka wanawake sasa nikikumbuka yule Dada alivomtesa mwenzie alikuwa Na Watoto 3 Watoto wanateseka kisa yeye nilijifunza mengi jamani hapana mume Wa mtu nipite mbali nakama sijajua lazima nitubu Mungu anisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom