Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
Wala am not married.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni kelele tuu,
Michepuko haita kwisha,
1) Idadi ya wanaume wachache.
2) wakati mwingine kuna sababu muhimu ,kama uzazi, maradhi kwa mmoja wao, majukumu ya kikazi nk.
3) sintofahamu ndani ya nyumba ulevi kupita kiasi, kiburi- majivuno nk.
4) starehe za kawaida - burdani tuu.
5) kuboresha ndoa.

Huwezi peleka timu kwenye match bila kuwa na mazoezi.
 
Sijawahi fanya hivyo lakini, ungezungumza na hao waume wawatu wanaokwenda kuomba vya nje wao ndo walipaswa waanze kuheshimu ndoa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada ila hiyo I think nilishaizungumzia.But ukitongozwa hulazimishwi kukubali tena na pete ya ndoa unaiona kidoleni...but still mtu bado yumo tu anaumizwa bado yumo tu

Aliye na ndoa aanze kujiheshimu maana yeye ndo anajua ameacha mke nyumbani. Halafu issue ya pete anaweza kuificha.
Hili liambatane na wanawake kuwaridhisha waume wao watulie ama wawaruhusu waoe mke mwingine kama unashindwa kumpa ipasavyo.
 
Did I mention anywhere wanaume wasichepuke.Rudi kusoma post vizuri ukishaielewa rudiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye na ndoa aanze kujiheshimu maana yeye ndo anajua ameacha mke nyumbani. Halafu issue ya pete anaweza kuificha.
Hili liambatane na wanawake kuwaridhisha waume wao watulie ama wawaruhusu waoe mke mwingine kama unashindwa kumpa ipasavyo.
Ndo maana nimezungumzia wale side chicks ambao wanataka kutoka katika hali hiyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi fanya hivyo lakini, ungezungumza na hao waume wawatu wanaokwenda kuomba vya nje wao ndo walipaswa waanze kuheshimu ndoa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madam nakupinga kidogo hapo mwisho wa post yako...wanaume ndo walipaswa waanze kuheshimu vya watu?...hapana sio wanaume tu bali wanawake na wanaume wote wanapaswa kwa sababu wakishafikia muafaka basi maridhiano yanatoka pande zote mbili...So wote...wanaume na wanawake wanapaswa kuheshimu ndoa za wenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ...remember age will not wait for you ... ......
17c8448a0be5ef1af16c0ceff131cbc1.jpg

Endeleen kusema ,,muda bado !!.
 
Sawa dada ila hiyo I think nilishaizungumzia.But ukitongozwa hulazimishwi kukubali tena na pete ya ndoa unaiona kidoleni...but still mtu bado yumo tu anaumizwa bado yumo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima kutongozwa, na sio kweli kwamba wanatongozwa wote,
Wengine wanajipeleka wenyewe, kulingana na hali halisi.
Zipo factor s nyingi mno zinapelekea mwanamke kujitongozesha mwenyewe.
 
Madam nakupinga kidogo hapo mwisho wa post yako...wanaume ndo walipaswa waanze kuheshimu vya watu?...hapana sio wanaume tu bali wanawake na wanaume wote wanapaswa kwa sababu wakishafikia muafaka basi maridhiano yanatoka pande zote mbili...So wote...wanaume na wanawake wanapaswa kuheshimu ndoa za wenzao

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma vizuri umekurupuka! Mwanaume mwenye mke aheshimu ndoa yake asitongoze akibakwa itakuwa case nyingine.
 
Siyo lazima kutongozwa, na sio kweli kwamba wanatongozwa wote,
Wengine wanajipeleka wenyewe, kulingana na hali halisi.
Zipo factor s nyingi mno zinapelekea mwanamke kujitongozesha mwenyewe.
Yeah I know ...most of them wanapenda mitelezo ndo maana mwanaume atakunyanyasa mara kaa kimya wife anapiga yet unamfanyia style zote kisa pesa khaaa...this is madness na utumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom