Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
Aliye na ndoa aanze kujiheshimu maana yeye ndo anajua ameacha mke nyumbani. Halafu issue ya pete anaweza kuificha.
Hili liambatane na wanawake kuwaridhisha waume wao watulie ama wawaruhusu waoe mke mwingine kama unashindwa kumpa ipasavyo.
Mwanaume haridhiki hata siku moja, unaweza kumpa haki yake usiku kucha na akakuwasha bao 8, lakin asubuhi akioga kujiandaa atoke mzikii unaanza kudai mambo tena ,je mpe tena atakuwasha 3 mfulilulizo na ataenda kuoga kisha ataondoka anaingia kwenye daladala kuona mdada mrembo kwenye kimin tu mziki unataka hivo mdada huyu akitoa mambo lazima atachezea miti sana hata 5 bao ataachwa nazo ,lakin ile wanatoka uwanja wa metch njiani ni kosa kukutana na kimin kingine lazima jembe linaanza kudai tena.

NB; Mwanaume ana matamanio kupita Maelezo. Muombee aokoke haya yatamwisha napo ni kwa kudra za Mwenyez Mungu.
 
Ujue problem inaanzia pale unapomjali, unampenda, unampa lakini hatosheki halafu wewe unaanza kulala macho huli hulali, hufanyi kazi unamfuatilia. Mi nimeacha hizo aisee natimiza wajibu wangu nakuacha utajijua kuzeeshana sitaki anashangaa nang'aa tu na vituko vyake
Samahani lakini nikiwa nimelewa asubuhi kama hivi naongea ukweli si nilijua ni weekend nkatupia asubuhi asubuhi, sasa daaah[emoji2]
 
Kwa hiyo umetupia mangapi?
 
Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Wanaanzaje kutuacha tatizo mme wa mtu mtamu na service tunajua that's Y hawana ubavu wa kutuacha ushauri mzuri ila Ulitakiwa utolewe miaka 20 ijayo hivi
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom