Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
😀😀😀😀Wenzake tumeshafika mpaka ' Mbinguni ' na tumerudi tena duniani nini Yeye kufika huko Chuo Kikuu? Huyo Demu ni ' Mbwigira / Mshamba ' sana. Anaacha kutafakari kwanini yamemkuta na ' Kaachika ' Yeye anajifanya kuja humu kufanya Kazi ya ' Ukungwi ' wakati humu JF Watu ' wameshajipindia ' akili zao Kitambo sana na tunaona anatuchosha tu kama siyo kutuboa. Kila Mtu apambane na ' Mbunye ' yake.
Ungeniona naleta shuhuda kama zako humu,pole wewe ulieguswa.
Aaa suzieKweli this is all you can do? You are such a pussy..wewe ndo limbunye lenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijaribu ndo utajua why anatamani na anashindwa kumuacha.Hapana but my friend ambaye hawezi muacha jamaa though anatamani..So anaumia saaanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada kakosea wapi mnamshambulia hivyo? Teh...
Mmh! Suzie wewe sio yule wa kule kwenye zile big 4 auditing firm maana miandiko yenu inafananaNB: ukinitukana sitokukalia kimya ni kwa wale tu inayowahusu just a simple advice sipendi kuona mwanamke mwenzangu ananyanyasika especially emotionally.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji102]Dada pambana tu na hali yako ya ' Kimbunye ' na waachie wenye ' Mbunye ' zao wazitumie kwani huwalishi, huwaweki mjini na wala huwalipii Kodi zao za nyumba. Na kwa uandishi wako huu napatwa na wasiwasi pia kama hata ' Mbunye ' yako ni tamu sana sana nahisi itakuwa ' imedoda ' tu!
Aliniomba ushauri jinsi ya kumuacha nikaona nije kushare labda kuna wengne kama yeye ..But Mimi naongelea tu wale wanaotamani kuacha but inakuwa ngumu wale ambao hawataki kuacha mimi sijawasemeaUkijaribu ndo utajua why anatamani na anashindwa kumuacha.
Ila nachopenda kukwambia ni kwamba wasichana wengi sana hupenda kutoka na waume za watu. Tena wengine hudiriki hata kutaman au kutaka kuzaa na waume za watu. Anyway huwezi kuwashaur waache pasipo kujua kwa nn waliingia [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uvumilie tu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kweli this is all you can do? You are such a pussy..wewe ndo limbunye lenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha halafu wewe jamaa kweli ni pussy. ..kwani nimekukosea nini...kwani nimekushika hicho ki chalk dick chako endelea kukitembeza ..Hicho kibamia chako ni Mali yako sijakigusa....first of all nilikua naongea na wanawake labda na wewe mwanamke[emoji23][emoji23]Amezidisha tu ' Umbwigira / Ushamba ' wake hivyo sasa ' anayakoga ' tu.
[emoji38] [emoji38] single moms wa zama hizi haoNilitaka tu nikutoe katika ' Reli ' na umetoka kweli hivyo Kwangu Mimi naona majaribio yangu ya Makombora dhidi yako yameenda vizuri na yamefanikiwa kwa kiasi Kikubwa. Kama uliachika au Bwana wako ' alikutema ' ni vyema tu ukaa chini ujitafakari na ikibidi uitathmini ' Mbunye ' yako kwani pengine ina ' walakini ' ndiyo maana ' Jamaa ' akakumwaga na sasa ameenda kukutana na ' Mbunye ' zilizotukuka hadi zimemzuzua na Wewe unabaki tu sasa ' Kuzoza / Kulaumu ' humu Mitandaoni.
Hahahahaaaa afadhali Demi umekujaUtamu wa mume wa mtu hauelezeki
English and SWAHILI,,, Unaniacha mbali mm mwenzako jpm sijui iyo lugha ya EnglishGoodafternoon...I hope you are all having a splendid weekend.
Straight to the point, this is special for my fellow women and girls.Kuna wadada wanatembea na wanaume za watu but wengine wanatamani kuacha but inakuwa ngumu sana simply because you are in love already and I won't blame you.Ila put yourself in the wife's shoe halaf ujipe majibu.. ( I wont talk much) but pia the worst part inayouma ni kutembea na mume wa mtu and yet you are aware anampenda saaanaa mkewe not to mention kamzalia very beautiful kids and anaipenda sana familia yake na nyege zake zikizidi anatafta kigenerator chake ambacho ndo wewe anamalizia zingne anaweza kumwachia his lovely wife zingne za usiku ..lol..And still bado unangangania in the name of love or perhaps MONEY as usual but still I won't blame you.Na siku nyingne unasikia baridi usiku au una minyege but mwenzio ndo kakumbatiwa... Hapohapo perhaps kwake hupajui na mkewe humjui anafananaje but ukasearch wewe mwenyew unavyojua kwenye social networks unakutana na jamaaa anavyompost mkewe ad harusi aliweka but wewe unampa utamu gizani ila hadharani wanamjua MKE au pengne anakuintroduce to his foolish friends who are just like him and you feel proud cuz you are a side chick but they see you as the side bitch huku wanakuchekea chekeachekea kinafiki.
Sasa basi niko na wale tu ambao they don't want this anymore and are really fighting hard kuachana na hii hali but still go back cuz of their reasons or being in love.Darling you are vulnerable and remember age will not wait for you ooooo...mwingne eti ndoa kakuahid so you are waiting lol...if he is willing to leave his wife for you what do you think he will do to you? So just tune your mind to your success .Usiwe idle not for a second because utakua unamuwaza..keep yourself busy maaa focus on your work kama hauna tafta biashara futa namba zake..And learn how to spoil yourself, take yourself out nenda mall kafanye window shopping mind you kwenye malls hakuna hata bei yale ni majengo tu au you go find yourself siku za discount then treat yourself well.Au jifanye shopping sehem ambayo unaridhika mayo.Eat well, fanya mazoezi, jipeleke sehem nzuri have a different lifestyle jipende dada make yourself look good and beautiful and be proud of your feminism..On week days tafta Ankara( pesa) mama usikubali mwanaume akugalagaze kisa pesa kwanza ukitafta kwa Jasho lako you will feel proud kuzitumia na utazitumia kwa adabu.Remember love will come around when least expected na usiwe kikwazo kwa mwanamke mwenzio kwa kuingilia ndoa yake haikuhusu kama ni ya furaha au karaha.
Nawapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app