Thank you.Nawashanga wanapiga piga makelele kwa kujipa moyo
Sent using
Jamii Forums mobile app
Ata wasikusumbue hao , somo limeleweka tena vyemaaaaaaa yaan wamekuelewa sana ,,,ila siunajua kawaida ya mwanadamu huwa ningumu kukubaliana na ukweli tena hasa ukweli niukweli usomfurahisha !!! Kwaiyo kwanza nakuoa pongezi kwa huu Uzi ,,kiukweli napenda sana mwanamke akiwa na POSTIVE MIND LIKE YOU !!! Yaaan huwa napenda sana kumuona mwanamke anakua strong independent na open minded km wewe !! Mwanamke ambaye anaona anaweza kusimama nakuishi bila kumtegemea mwanamme !!!.nahii mambo ya kutegemea wanaume yamemfanya mwanamke wakitanzania kua kiumbe dhaifu ,,kisicho nahaki ,,kinachoonewa ,, unapata mimba unalazimishwa uitoe nahuna jinsi ,,, mwanamke unaonewa unakandamizwa ,,yote haya nisababu mnajiona hamuwezi kufanya maisha bila mwanamme .
Binafsi nakupongeza sana ,, kiukweli huu niuuzi ambao naupa 100% rating approval kwangu . you are postive ,, understanding,, determined ,decided and practical .
Ningefurahi km kila siku ungeandika nyuzi km hizi all in all to free woman ,, huwa naumia sana when she is not value herself ,
majuzi kati nmekutana na Mdada nilisoma naye Advance ,yule Mdada nishombeshombe LA kiarabu hawa watabora ,, ebwana tukiwa Advance nimschana ambaye alikua kitembea na mameneja wa benki ,shulen analetwa na range ,,, akaja kufel bado akaendelea ,,saiv kazalishwa watoto wawili ,baba tofauti ,,, majuzi nakutana naye hospital aisee kachokaaaaa kachakaaaaaa........... Lkn kumbe wakati anafanya hayo alijua akijizibia fursa na mwanamme mwingine alohitaji kumuoa .
"Woman value is dymic ,it change " wako api akina sinta ,,ray c ,,johar ??? Mmmhhhh .
Aiseee Big up sana mkuu ,,yaan Big up !!.
km umeolewa then mumeo anabahati.
kam hujaolewa ,, make sure unaendelea kua postive humu humu Jf atakuja .
Unajua wanaume waoaji Mara nyingi humsoma MTU kwanza ,,namoja yanguzo pekee yakumsoma MTU nikupitia Mawazo na kile anachokizungumza ,anachokishabikia..
Once again big up ,,big up and shout out to you !!.