Kwa wale wanaotegemea kujiunga form v, 2017. Soma pdf doc. Hii kwa msaada

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
NImeikuta hii nyaraka kwenye website ya UNESCO, hope inaweza toa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wale wanaotegemea ama wao au ndugu zao au watoto zao kujiunga na masomo ya kidato cha tano 2017. Ndani yake kuna mpaka sifa za kujinga na COMBINATIONS Mbalimbali za masomo ya kidato cha tano, pamoja na optional subjects.

Hope itasaidia kutoa muongozo.

Hasa Kuanzia pg 15-20.

Nawatakia juhudi njema.

Source: http://www.ibe.unesco.org/curricula/tanzania/tz_us_fw_2010_eng.pdf
 
Attachments

  • www.ibe.unesco.org_curricula_tanzania_tz_us_fw_2010_eng.pdf
    581.2 KB · Views: 120
Da! Wengine tunatumia visimu vya vitufe. Naomba mnieleze point muhimu katika hio pdf.
 
NImeikuta hii nyaraka kwenye website ya UNESCO, hope inaweza toa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wale wanaotegemea ama wao au ndugu zao au watoto zao kujiunga na masomo ya kidato cha tano 2017. Ndani yake kuna mpaka sifa za kujinga na COMBINATIONS Mbalimbali za masomo ya kidato cha tano, pamoja na optional subjects.

Hope itasaidia kutoa muongozo.

Hasa Kuanzia pg 15-20.

Nawatakia juhudi njema.

Source: http://www.ibe.unesco.org/curricula/tanzania/tz_us_fw_2010_eng.pdf
 
NImeikuta hii nyaraka kwenye website ya UNESCO, hope inaweza toa msaada wa mahitaji ya msingi kwa wale wanaotegemea ama wao au ndugu zao au watoto zao kujiunga na masomo ya kidato cha tano 2017. Ndani yake kuna mpaka sifa za kujinga na COMBINATIONS Mbalimbali za masomo ya kidato cha tano, pamoja na optional subjects.

Hope itasaidia kutoa muongozo.

Hasa Kuanzia pg 15-20.

Nawatakia juhudi njema.

Source: http://www.ibe.unesco.org/curricula/tanzania/tz_us_fw_2010_eng.pdf
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom