Kwa wale wanaotaka kupungua

Kiongozi....umekamilisha siku yangu....nimecheka sana kaka...
 
Mdogo wangu analijua hilo kama mnapelekana PM?Kama mkitaka nisiwasemee na mie niambieni mnaongea nini huko PM😀

Hivi wewe mwanamke nini kimekuleta huku jamani!!!!!!!!!!!!
Tunaenda kumfundishana mwandiko, na hisabati bhana
 
Sasa si ungeandika title inayosema "Kwa wale wanaotaka kupoteza vitu" miwani kupungua maana yake labda ilikuwa na urefu wa cm 8 imepungua na kuwa cm 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…