Kwa wale wanaotaka kupungua

Kwa wale wanaotaka kupungua

Honey Faith asiposema ntasema mimi. Mnafanya tabia mbaya hadharani kabla hamjafanya utafiti.

Hee! jamani, mbona watu hampendi kuona watu wanaongeza bidii tuisheni?????? badala mtupongeze nyie mnasema tabia mbaya khaa!!!!
Ila mshana jr amesema yeye atatuletea tiba ya Asprin ili wakati wakufanyacalculation kichwa kisiume.
 
Heee!!!!! my wewe, mbona unahila hvo???????
Wenzio hisabati zinatusumbua, tumeamua kuzisoma 24hrs ili change isitushinde jamani, mmh!!

Sio hila tatizo nina mlinda mdogo wangu.Na huyo mwalimu wako sijui yuko wapi bora umuite mniombe msamaha:banghead:
 
Sio hila tatizo nina mlinda mdogo wangu.Na huyo mwalimu wako sijui yuko wapi bora umuite mniombe msamaha:banghead:

Mwalimu anasahisha home work jamani. utafiti ukuje huku, maana ujeleze, tena uje kwa utulivu maana hali ni mbaya huku.
 
Asante kwa kuniunga mkono my babu yangu weee.Mie nimewaambia vizuri ila wanaleta ujeuri si bora niseme tu😀

Kama vipi tuwaloge kabisa shenzy taip zao na nusu.... wanaleta mapepo kwenye nyumba ya ibada
 
Njoo kwangu nikupe tiba sahihi.... achana na tiba zinazofanyiwa utafiti. Nakusubiri PM u apolojaiz...

Ndomana tumehamia pm, natafuta sehemu salama zaidi ya pm nadhan wozap inafaa sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom